Big Show : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Big Show alianza kazi yake katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la ''The Giant''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini mkataba na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni(WWF).
 
Kati ya WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa [[dunia]] wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya [[WWF/WWE]] mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show 2018]]
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika filamu na vipindi vya [[televisheni]] kama ''Jingle All the Way'',''The Waterboy'',''Star Trek Enterprise''.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kwanza la kuongoza katika [[filamu]] ya uchekeshaji [[Knucklehead]] ambayo ilitolewa na [[WWE Studio]].