Ugonjwa wa moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Mangojwa ambayo huweza kuuathiri moyo ni kama ugonjwa wa [[kisukari]] pamoja na [[shinikizo la damu]].Ugonjwa wa kisukari husababishwa na mwili kushindwa kuongoza kiwango cha sukari katika damu. Shinikizo la damu pia huchangia kupelekea kwa ugonjwa wa moyo kwani huasababisha [[Mishipa|mshipa]] mbalimbali ndani ya moyo kuweza [[Kupasuka|pasuka]].
 
Ili kuepukana na ugonjwa wa moyo binadamu anashauriwa kwanza ale mlo kamili,afanye [[mazoezi]] angalau mara moja au mbili kila siku,kujiepusha na unywaji wa pombe na [[Vilevi|kilevi]] vingine pamoja na uvutaji wa sigara ambao husababisha hata magonjwa ya mapafu pia kuepuka kutumia vyakula venye kiasi kikubwa cha mafuta na sukari. Mwanadamu pia anashauriwa apate tiba iliyo kamili pale anapogundulika kuwa na magonjwa makubwa hasa kisukari na shinikizo kubwa la damu.Pia inashauria mtu kufanya [[matibabu]] (check up)mara kwa mara ili kuweza kujua afya yake inavyoendelea,hii itamsaidia kuyajua na kuyawahi magonjwa kabla hayajawa makubwa.
 
Ugonjwa wa moyo husababisha kifo kwani moyo ndio kiungo kikuu cha kusukuma damu hivyo kinaposhindwa kufanya kazi hupelekea mwisho wa maisha kiumbe hai huyo.
 
[[Jamii:Mbegu za biolojia | Magonjwa]]