Mtumiaji:Muddyb/Mkude Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mussa Yusufuph Mahenge''' (amezaliwa 30 Disemba 1986) ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa muswada andishi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika...'
 
No edit summary
Mstari 6:
Baadaye akatengeneza filamu zake mwenyewe ikiwa ni pamoja na [[Mbwembwe]], [[Kubwa Jinga]], [[Porojo]], [[Bad Night]] na [[More Than a Lion]].
==Maisha ya awali==
KitaleMkude alizaliwa na jina la 'Mussa Yusuph Mahenge' alizaliwa mnamo 30 Disemba 1986 huko mkoani Morogoro kwa baba na mama wote [[Walugulu]]. Alisoma katika shule ya msingi Tandale Uzuri, [[Dar es Salaam]] na kuhitimu 2001. Katika familia yao wapo sita, watano wamezaliwa baba na mama mmoja, Kitale wa kwanza--vilevile wa pili kwa upande wa baba kwa sababu alizaa mtoto wa kike kabla ya kumuoa mama'ke Kitale.
==Kazi==
Kitale alianza kuigiza tangu akiwa Shule ya Msingi Uzuri. Alijiunga na Kaole Sanaa Group mnamo 2002. Kipindi angali anaishi Manzese, aliishi karibu na waigizaji maarufu wa kundi la Kaole, Abdallah Mkumbila (Muhogo Mchungu) na akina Swebe Santana. Nyakati hizo, alitamani sana kuigiza baada ya kuwaona walichokuwa wakikifanya. Alivyojiunga Kaole, alikutana na Tuesday Kihangala. Kupitia huyu, ilikuwa rahisi kufanya kazi Kaole. Tues na Mkude wanatoka kijiji kimoja huko Morogoro.
 
Kukatokea mfarakano baina ya Kihangala na kiongozi mkuu wa kundi la Kaole kipindi hicho Bwana Christian Muhenga na hatimaye Tues akatoka na kuanzisha kundi lake la maigizo maarufu kama 'Fukuto Arts Group' akamchukua na Mkunde Simba. Akiwa huko, alishiriki katika tamthiilia ya [[Rangi ya Chungwa]], [[Ua Jekundu]] na [[Jumba la Dhahabu]] kabla ya kwenda kufanya kazi za kujitegemea.
===Filamu za kujitegemea===
Mkude alianza kuandika filamu zake mwenyewe mnamo mwaka wa 2009. Filamu ya kwanza ilikuwa [[Badnight]]. Zifuatazo ni filamu alizoandika na kuziongoza;
 
 
#[[Badnight]] - 2009
#[[Mwembwe]] - 2009
#[[More Than a Lion]] - 2010
#[[Porojo]] - 2013
#[[Chizi Kalogwa Tena]] - 2014
#[[Harusi ya Teja]] - 2015
#[[Stan Bakora] - 2019
#[[Mzee Ndigula]] - 2019
#[[Kimbiji (filamu)|Kimbiji]]- 2019
#[[Mkubwa Bure]] - 2019
 
Mbali na filamu, Mkude pia alitoa tamthilia maarufu nchini Tanzania - [[Maneno ya Kuambiwa]]. Tamthilia inarushwa kupitia TV ya E-TV na idhaa yake ya YouTube ya Mkude Simba.
==Orodha ya filamu alichocheza==
#Chizi Kalogwa Tena
#4 Days Mission
#Sina Jinsi
#Mkweli Nani
#Dini Imani
#Msela
#Utani
#Zungusha
#Bwege Mtozeni
#Break Down
#Shoe Shine
#Street Girl
#Chips Kuku
#Zungu la Unga
#Lakuchumpa
#More than a Lion
#Porojo
#Mpela Mpela
#Utanibeba
#Jumba la Dhahabu Season 1
#Vituko Show Vol. 10
#Sons & Jobs
#Mission Town
#Simu ya Kichina
#Alosto
#Back from New York
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
 
 
{{BD|1986}}
 
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Tanzania]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]