Mtumiaji:Muddyb/Mkude Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Mwigizaji 2
'''Mussa Yusufuph Mahenge''' (amezaliwa 30 Disemba 1986) ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa muswada andishi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa uhusika wake wa '''Kitale''' ambao hucheza kama mraibu wa dawa za kulevya (teja) na '''Mkude Simba'''<ref>https://www.youtube.com/watch?v=dCorrCZE3ns</ref> kupitia vitangazo vidogo vya EFM Radio. Mbali na uigizaji, Kitale vilevile ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya ([[Bongo Flava]]).
| jina = Mkude Simba
| picha = Mkude Simba picha.jpeg
| maelezo ya picha = Mkude Simba
| jina la kuzaliwa = Mussa Yusufuph Mahenge
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date|1986|12|30|mf=yes}} [[Mahenge]], [[Morogoro]], [[Tanzania]]
| mahala pa kuzaliwa = Morogoro
| tarehe ya kufa =
| mahala alipofia =
| jina lingine = Kitale, Teja, Bwakila
| kazi yake = Mwigizaji, mwigizaji wa sauti, mwimbaji
| miaka ya kazi = 2002
| ndoa = Fatma Abbas
| watoto = 2
| mahusiano ya kimapenzi =
| tovuti =
}}
 
'''Mussa Yusufuph Mahenge''' (amezaliwa [[30 Disemba]] [[1986]]) ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa muswada andishi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa uhusika wake wa '''Kitale''' ambao hucheza kama mraibu wa dawa za kulevya (teja) na '''Mkude Simba'''<ref>https://www.youtube.com/watch?v=dCorrCZE3ns</ref> kupitia vitangazo vidogo vya EFM Radio. Mbali na uigizaji, Kitale vilevile ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya ([[Bongo Flava]]).
Mwaka wa 2010, alitoa [[Hili Dude Noma]] akimshirikisha Corner na Midezoo, [[Mbuzi Kagoma Kwenda]] (2012), akimshirikisha Canaltop na [[Sharo Milionea]], Nawaektia (2014) akimshirikisha Midezoo, Mithuni Chakraboty (2019).