Big Show : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Big Show Plays to the Crowd.jpg|thumb|350x350px|Huyu ni Big Show akiwa [[ulingoni]]]]
'''Paul Donald Wight II'''(amezaliwaalizaliwa 8 Februari 1972) ni mpiganaji wa [[mieleka]] na muigizaji wa [[Marekani]],amesajiliwa kwenye [[kampuni]] ya [[WWE]],ambapo anafanya kazi kwenye [[brandi]]lebo ya [[Raw]] na anajulikana kwa [[jina]] la '''Big Show'''.
 
Big Show alianza kazi yakealiingia katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la ''The Giant''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini [[mkataba]] na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni(WWF).
 
KatiKatika ya WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa saba wa [[dunia]] wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya WWF/WWE mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show 2018]]
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika [[filamu]] na vipindi vya [[televisheni]] kama ''Jingle All the Way'',''The Waterboy'',''Star Trek Enterprise''.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kwanza la kuongoza katika [[filamu]] ya uchekeshaji [[Knucklehead]] ambayo ilitolewa na [[WWE Studio]].