Big Show : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Big Show aliingia katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la ''The Giant''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini [[mkataba]] na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni(WWF).
 
Katika WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa saba wa [[dunia]], akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili,WWF/WWE mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show 2018]]
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika [[filamu]] na vipindi vya [[televisheni]] kama ''Jingle All the Way'',''The Waterboy'',''Star Trek Enterprise''.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kuongoza katika [[filamu]] ya uchekeshaji Knucklehead ambayo ilitolewa na WWE Studio.