Ugonjwa wa moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
'''[[Ugonjwa]] wa [[moyo]]''' ni [[maradhi]] yanayou[[shambulia]] na kuu[[dhoofisha]] moyo . Moyo ni kiungo kinachosukuma damu katika mwili wa kiumbe hai hasa wanyama. [[Damu]] hiyo hua na vitu kama [[oksijeni]],[[homoni]],[[seli za damu]] na virutubisho mbalimbali kutoka katika [[Vyakula|chakula]] anavyokula [[kiumbe hai]] huyo.Ugonjwa wa moyo mara nyingi huwapata [[binadamu]] kuliko wanyama wengine.