Carlos Valdes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Carlos Valdes (16854560397).jpg|alt=Carlos Valdes|thumb|305x305px|Carlos Valdes]]
'''Carlos David Valdes''' (amezaliwa [[Aprili 20]], [[1989]]) ni [[muigizaji]] na [[mwimbaji]] wa nchini [[Marekani]]. Anajulikana sana kwa kwa kucheza uhusika wa ''Cisco Ramon'' / ''Vibe'' pia kwenye [[filamu]] ya ''[[The Flash]]'' na vipindi vingine vinavyohusiana na mfulululizo''[[Arrowverse]]''.
 
== Wasifu ==
Valdes alizaliwa katika mkoa wa [[Cali]], nchini [[Colombia]] lakini alilelewa huko mjini [[Miami]], [[Florida]] akiwa na [[umri]] wa miaka 5, kisha akahamia tena [[Marietta]], [[Georgia]] akiwa na umri wa miaka 12. Alisoma katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Michigan]] na waigizaji wenzake kutoka kikundi cha maonyesho cha ''StarKid Productions'', na aliandika wimbo wake mwaka [[2009]] ulioitwa [[''Me and My Dick'']] .
 
== Viungo vya nje ==