Ugonjwa wa moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Human Heart.png|thumb|Moyo wa binadamu.]]
'''Ugonjwa wa moyo''' ni [[maradhi]] yanayoushambulia na kuudhoofisha moyo . Moyo ni kiungo kinachosukuma damu katika mwili wa kiumbe hai hasa wanyama. [[Damu]] hiyo hua na vitu kama [[oksijeni]],[[homoni]],[[seli za damu]] na virutubisho mbalimbali kutoka katika [[Vyakula|chakula]] anavyokula [[kiumbe hai]] huyo.Ugonjwa wa moyo mara nyingi huwapata [[binadamu]] kuliko wanyama wengine.
 
===== <u>Visababishi vya ugonjwa.</u> =====
'''Ugonjwa wa moyo''' ni [[maradhi]] yanayoushambulia na kuudhoofisha moyo . Moyo ni kiungo kinachosukuma damu katika mwili wa kiumbe hai hasa wanyama. [[Damu]] hiyo hua na vitu kama [[oksijeni]],[[homoni]],[[seli za damu]] na virutubisho mbalimbali kutoka katika [[Vyakula|chakula]] anavyokula [[kiumbe hai]] huyo.Ugonjwa wa moyo mara nyingi huwapata [[binadamu]] kuliko wanyama wengine.
Ugonjwa wa moyo huweza husababishwa na [[tabia]] au namna mtu anavyoishi,magonjwa mbalimbali pamoja na aina ya [[chakula]] anachokula mtu huyo.Kwa upande wa tabia mtu anaweza kupata ugonjwa wa moyo kuipitia unywaji [[pombe]] kupita kiasi.,uvutaji wa [[sigara]] na [[uvivu]] wa kufanya [[mazoezi]].mazoezi humsaidia mtu awe mwenye afya kwani mazoezi hudhoofisha viini vya magonjwa mbalimbali vilivyo ndani ya [[mwili]] binadamu.
 
Ugonjwa wa moyo huweza husababishwa na [[tabia]] au namna mtu anavyoishi,magonjwa mbalimbali pamoja na aina ya [[chakula]] anachokula mtu huyo.
 
Kwa upande wa tabia mtu anaweza kupata ugonjwa wa moyo kuipitia unywaji [[pombe]] kupita kiasi,uvutaji wa [[sigara]] na [[uvivu]] wa kufanya [[mazoezi]].mazoezi humsaidia mtu awe mwenye afya kwani mazoezi hudhoofisha viini vya magonjwa mbalimbali vilivyo ndani ya [[mwili]] binadamu.
 
Ugonjwa wa moyo pia husababishwa na matatizo katika [[mlo]] wa mtu,hasa katika kuzidisha(kuongeza) viwango vinavyohitajika na mwili.Kuzidisha viwango vya chakula ni kama kula vyakula vyenye [[mafuta]] mengi ambapo mafuta hayo huweza kujaa [[Mwilini|mwili]] hata mpaka kwenye moyo na kusababisha kuziba kwa [[Mishipa ya damu|mshipa wa damu]] hivyo kufanya moyo ushindwe kufanya kazi vizuri.
Line 10 ⟶ 9:
Mangojwa ambayo huweza kuuathiri moyo ni kama ugonjwa wa [[kisukari]] pamoja na [[shinikizo la damu]].Ugonjwa wa kisukari husababishwa na mwili kushindwa kuongoza kiwango cha sukari katika damu. Shinikizo la damu pia huchangia kupelekea kwa ugonjwa wa moyo kwani huasababisha [[Mishipa|mshipa]] mbalimbali ndani ya moyo kuwezakupasuka.
 
===== <u>Tahadhari.</u> =====
Ili kuepukana na ugonjwa wa moyo binadamu anashauriwa kwanza ale mlo kamili,afanye [[mazoezi]] angalau mara moja au mbili kila siku,kujiepusha na unywaji wa pombe na [[Vilevi|kilevi]] vingine pamoja na uvutaji wa sigara ambao husababisha hata magonjwa ya mapafu pia kuepuka kutumia vyakula venye kiasi kikubwa cha mafuta na sukari. Mwanadamu pia anashauriwa apate tiba iliyo kamili pale anapogundulika kuwa na magonjwa makubwa hasa kisukari na shinikizo kubwa la damu.Pia inashauria mtu kufanya [[matibabu]] (check up) mara kwa mara ili kuweza kujua afya yake inavyoendelea,hii itamsaidia kuyajua na kuyawahi magonjwa kabla hayajawa makubwa.
 
===== <u>Athari.</u> =====
Ugonjwa wa moyo husababisha kifo kwani moyo ndio kiungo kikuu cha kusukuma damu hivyo kinaposhindwa kufanya kazi hupelekea mwisho wa maisha kiumbe hai huyo.