Ugonjwa wa moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Human Heart.png|thumb|Moyo wa binadamu.]]
'''Ugonjwa wa moyo''' ni [[maradhi]] yanayoushambulia na kuudhoofisha [[moyo]]. Moyo ni kiungo kinachosukuma [[damu]] katika [[mwili]] wa [[kiumbe hai]], hasa [[wanyama]]. [[Damu]] hiyo huahuwa na vitu kama [[oksijeni]], [[homoni]], [[seli za damu]] na virutubisho[[virutubishi]] mbalimbali kutoka katika [[Vyakula|chakulavyakula]] anavyokula. [[kiumbe hai]] huyo.Ugonjwa wa moyo mara nyingi huwapata [[binadamu]] kuliko wanyama wengine.
 
===== <u>Visababishi vya ugonjwa.</u> =====
Ugonjwa wa moyo huweza husababishwa na [[tabia]] au namna mtu anavyoishi, magonjwa mbalimbali pamoja na aina ya [[chakula]] anachokula mtu huyo. Kwa upande wa tabia mtu anaweza kupata ugonjwa wa moyo kuipitiakupitia unywaji [[pombe]] kupita kiasi., uvutaji wa [[sigara]] na [[uvivu]] wa kufanya [[Mazoezi ya mwili|mazoezi]].mazoezi Mazoezi humsaidia mtu awe mwenye [[afya]] kwani mazoezi hudhoofisha viini vya magonjwa mbalimbali vilivyo ndani ya [[mwili]] wa binadamu.
 
Ugonjwa wa moyo pia husababishwa na matatizo katika [[mlo]] wa mtu, hasa katika kuzidisha (kuongeza) viwango vinavyohitajika na mwili. Kuzidisha viwango vya chakula ni kama kula vyakula vyenye [[mafuta]] mengi ambapo mafuta hayo huweza kujaa [[MwiliniMwili|mwilimwilini]] hata mpaka kwenye moyo na kusababisha kuziba kwa [[Mishipa ya damu|mshipa wa damu]] hivyo kufanya moyo ushindwe kufanya kazi vizuri.
 
MangojwaMagonjwa ambayo huweza kuuathiri moyo ni kama ugonjwa wa [[kisukari]] pamoja na [[shinikizo la damu]]. Ugonjwa wa kisukari husababishwa na mwili kushindwa kuongoza kiwango cha [[sukari]] katika [[damu]]. Shinikizo la damu pia huchangia kupelekea kwa ugonjwa wa moyo kwani huasababisha [[Mishipa|mshipa]] mbalimbali ndani ya moyo kuwezakupasukakuweza kupasuka.
 
===== <u>Tahadhari.</u> =====
Ili kuepukana na ugonjwa wa moyo binadamu anashauriwa kwanza ale mlo kamili, afanye [[mazoezi]] angalau mara moja au mbili kila siku, kujiepusha na unywaji wa pombe na [[Vilevi|kilevi|vilevi]] vingine pamoja na uvutaji wa sigara ambao husababisha hata magonjwa ya [[mapafu]] pia kuepuka kutumia vyakula venye kiasi kikubwa cha mafuta na sukari. Mwanadamu pia anashauriwa apate [[tiba]] iliyo kamili pale anapogundulika kuwa na magonjwa makubwa, hasa kisukari na shinikizo kubwa la damu. Pia inashauria mtu kufanya [[matibabuuchunguzi]] (check up) mara kwa mara ili kuweza kujua afya yake inavyoendelea,: hii itamsaidia kuyajua na kuyawahi magonjwa kabla hayajawa makubwa.
 
===== <u>Athari.</u> =====
Ugonjwa wa moyo husababisha [[kifo]] kwani moyo ndio kiungo kikuu cha kusukuma damu, hivyo kinaposhindwa kufanya kazi hupelekea mwisho wa [[maisha]] ya kiumbe hai huyo.
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Mbegu za biolojia | Magonjwa]]
[[Jamii:Moyo]]