Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
== Maisha ==
[[File:Mutter Teresa von Kalkutta.jpg|210px|thumb|left]]
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] (katika [[Dola la Kituruki]], leo [[mji mkuu]] wa [[Makedonia Kaskazini]]) katika [[familia]] ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''. Alizaliwa katika familia ya Kikatoliki na [[Ubatizo|alibatizwa]] siku moja baada ya kuzaliwa, yaani tarehe [[27 Agosti]] 1910 na siku hiyo aliyobatizwa aliitazama siku zote kama siku yake ya kuzaliwa rasmi.<ref>http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20031019_madre-teresa_en.html</ref>
 
Alipofikia [[umri]] wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka [[1929]] alitumwa Uhindi kufanya utume wake kama [[mmisionari]] afundishe kwenye [[shule]] ya masista mjini Kolkata alipoendelea hata kuwa [[mkuu wa shule]].
 
Hata hivyo aliguswa sana na hali ya ma[[fukara]] nje ya shule akajisikiaakajaliwa [[witoneema]] ya wito wa pekee yaani kujitoa kwa ajili ya watu maskini sana na wale ambao jamii imewatenga, kwa kuwasaidia na kuishi pamoja nao. Wito huu mpya ulikuwa chanzo cha Shirika la Masista Wamisionari wa Upendo lililoanza rasmi mnamo [[7 Oktoba]] [[1950]].<ref>http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20031019_madre-teresa_en.html </ref> Na sasa limeenea sehemu mbalimbali duniani likiendeleza utume wa Mama Tereza.
 
Kwa kibali cha wakuu wa shirika lake na wa [[Kanisa]] mwaka [[1948]] alitoka [[jumuiya]] ya Loreto akaanzisha [[maisha]] duni kati ya wakazi wa [[mitaa ya vibanda]].
Mstari 27:
Wanaendesha nyumba kwa [[watoto]] [[yatima]], wagonjwa wa [[UKIMWI]], wenye [[ukoma]], [[walemavu]], [[walevi]], wenye [[kichaa]] na kila aina ya matatizo maishani.
 
Mwaka [[1979]] alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] ambayo hutolewa na [[Umoja wa Mataifa]] kwa sababu jumuiya ya kimataifa iliweza kutambua mchango wake katika kutetetea [[haki]] za wanyonge.<ref>http://nobelprize.org/peace/laureates/1979/teresa-bio.html</ref>. Mama huyu ni mfano halisi wa namna ya kuishi kama [[binadamu]] kwa sababu kila mwanadamu ni sura na mfano wa Mungu, hivyo kuwajali na kuwasaidia wale wasiojiweza na wale ambao kamwe hawawezi kurudisha kwetu chochote, huwasaidia watu hao kuiona sura halisi ya Mungu kupitia sisi. Kwa kweli [[maisha]] yake yalikuwa ushuhuda halisi wa [[upendo]] wa [[Mungu]] hapa duniani. Pia Mama Tereza ni mfano halisi wa kuishi kama [[Mkristo]] kwa sababu hata [[Kristo]] mwenyewe alijitoa kwa ajili ya wale ambao jamii haikuwathamini kwa kipindi kile ambao ni wachungaji, [[wavuvi]], watoza ushuru na wenye dhambi, hivyo kujitoa kwa ajili ya wale wasiojiweza au wale ambao jamii haiwathamini tena inawasaidia wao kumwona na kumtambua Kristo kupitia sisi na huwawezesha kuuona uwezo mkuu wa Mungu kupitia matukio ya maisha yao.
Mwaka [[1979]] alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Mnamo mwaka [[1990]] aling'atuka kuongoza shirika lake kama mkuu wa shirika kimataifa.
Mama Teresa aliaga [[dunia]] tarehe 5 Septemba 1997 akafanyiwa [[mazishi]] ya kitaifa.
 
MamaAlifariki Teresaakiwa aliagana [[duniaumri]] wa miaka 87 huko Calcutta, [[Bengal Magharibi]] nchini India tarehe 5 Septemba 1997 akafanyiwa [[mazishi]] ya kitaifa.
 
== Sala zake ==
Line 93 ⟶ 95:
== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
* [http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20031019_madre-teresa_en.html]
* [http://www.calcuta.org Kolkata Mother Teresa Information]
* [http://www.mcpriests.com/11_family.htm Tovuti ya jumuiya za Mama Teresa]