Tofauti kati ya marekesbisho "Jon Moxley"

600 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[Picha:Ambrose USA Champion.jpg|thumb|Huyu ni Jon Moxley au Ambrose akiwa ameshika WWE ''United States Championship'']]
'''Jon Moxley''' ([[jina]] halisi: '''Jonathan David Good'''(; amezaliwa Disemba [[7, Disemba]] [[1985]]) ni mpiganaji wa [[mieleka]] na [[muigizaji]] wa [[AmerikaMarekani]] naambaye amesainiwa na ''All Elite Wrestling'' (AEW) na ''New Japan Pro-Wrestling'' (NJPW), ambapo anajulikana kwa jina la. [[Jon Moxley]].Katika NJPW, yeye ni [[bingwa]] wa sasa wa ''United States'' wa IWG. Alijulikana sana kwa wakati akiwa kwenye kampuni ya [[WWE]], ambapo alitumia jina la '''Dean Ambrose''' kutoka mwaka 2011 hadi 2019 akashindana katika Mashindano ya ''Florida Championship Wrestling'' (FCW) na NXT. Alijiunga katika timu ya [[The Shield]] akiwa na [[Roman Reigns]] na [[Seth Rollins]].
== Mafanikio yake. ==
[[Picha:The-shield-wwe-roman-reigns-dean-ambrose-seth-rollins.jpg|thumb|Kikundi cha The shield katika WWE: Roman Reigns, Dean Ambrose, Seth Rollins.]]
Kabla ya kujiunga na roho kuu ya [[WWE]] mwaka 2012 kama mwanachama wa [[The Shield]] na [[Ufalme wa Kirumi]] na [[Seth Rollins]] pamoja na [[Roman Reigns]], Dean Ambrose alishinda michuano yake ya kwanza wakati wa kikundi, michuano ya Umoja wa Mataifa, na utawala wake wa siku 351 kuwa wa tatu mrefu zaidi katika historia na [[rekodi]] ya [[kampuni]] ndani ya WWE (ambaye alipewa [[cheo]] juu ya ununuzi wa michuano ya [[Ulimwengu]] wa [[mieleka]] mwaka 2001).
 
Mnamo Mei 2013 Ambrose alishinda ubingwa wake wa kwanza huko WWE, ''United States Championship'', akiwa katika [[kundi]] la The Shield. Kutengana kwa The Shield mwaka 2014, Ambrose aliendelea kuwa bingwa wa WWE, ''Intercontinental Champion'' mara tatu na ''Raw Tag Team Champion'' Maramara mbili akiwa na Seth Rollins. Pia mwaka 2016 alikuwa mshindi wa ''Money in the Bank''. Baada ya kushinda mataji hayo mnamo Agosti 2017 Ambrose alishinda taji la WWE ''Triple Crown Champion'' na ''Grand Slam Champion''.
Mwaka 2011 alisaini [[WWE]],na alitumia jina la '''Dean Ambrose''' na akashindana katika Mashindano ya ''Florida Championship Wrestling'' (FCW) na NXT.Alijiunga katika timu ya [[The Shield]] akiwa na [[Roman Reigns]] na [[Seth Rollins]].
 
== Mafanikio yake. ==
Mnamo Mei 2013 Ambrose alishinda ubingwa wake wa kwanza huko WWE,''United States Championship'',akiwa katika [[kundi]] la The Shield.Kutengana kwa The Shield mwaka 2014,Ambrose aliendelea kuwa bingwa wa WWE,''Intercontinental Champion'' mara tatu na ''Raw Tag Team Champion'' Mara mbili akiwa na Seth Rollins.Pia mwaka 2016 alikuwa mshindi wa ''Money in the Bank''. Baada ya kushinda mataji hayo mnamo Agosti 2017 Ambrose alishinda taji la WWE ''Triple Crown Champion'' na ''Grand Slam Champion''.
=== Kazi nyingine. ===
Ukiachana na kushiriki katika mieleka pia Jon alifanya kazi kama muigizaji na alishawahi kuwa [[kiongozi]] wa [[filamu]] ''12 Rounds 3: Lockdown'' na akatokea katika [[filamu]] ya ''Cagefighter''.{{mbegu-mtu}}
{{BD|1985|}}
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Waigizaji wa Marekani]]
[[Jamii:Wanamichezo wa Marekani]]