Patrick Mfugale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Mfugale alizaliwa katika eneo la [[Ifunda]], [[mkoa wa Iringa]] <ref>{{Citation|title=Je Patrick Mfugale ni nani?|date=2018-09-27|url=https://www.bbc.com/swahili/habari-45668340|work=BBC News Swahili|language=sw|access-date=2020-02-09}}</ref> na kumaliza [[elimu]] ya [[upili]] katika [[shule]] ya Moshi [[mwaka]] [[1975]]. Alipata [[shahada]] ya kwanza ya [[uhandisi]] mwaka [[1983]] kutoka Chuo Kikuu cha Rokii ([[Uhindi]]) iliyofuatwa na shahada ya pili kwenye Chuo Kikuu cha Loughborough ([[Uingereza]]) mwaka [[1995]].
 
Mwaka [[2003]] alipokea [[tuzo]] ya [[Bodi ya Wahandisi wa Tanzania]] na mwaka [[2018]] alipokea tuzo nyingine iitwayo "Engineering Execellency". Patrick Mgufale alitengeneza mfumo wa [[usimamizi]] madaraja uitwao "Bridge Management System".
 
Katika mradi wa [[barabara]] za juu nchini Tanzania, [[serikali]] iliamua kulipa [[daraja]] moja jina [[Daraja la Mfugale]].