Mtaala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
 
==Sifa za mtaala==
* Kwa kawaida mtaala huzingatia taaluma (maarifa) ufundishaji (matendo ) na kujifunza (uzoefu) katika kiwango au ngazi Fulanifulani ya elimu.
* Pia mtaala lazima uonyeshe walengwa wa mtaala (aina ya wanafunzi watakao tumiawatakaotumia mtaala huo ), kwa mfano chekechea , watoto wa shule za msingi na sekondari na walemavu
* Muda utakaotumika kufundisha mtaala huo, kwa mfano miaka miwili saba na minne mitatu mitano n.k)
* Sifa za walimu watakao fundishawatakaofundisha mtaala huo mfano walimu wenye daraja A stashahada na shahada.
* Vifaa vitakavyotumika kufundishia walengwa na njia na mbinu zitakazo tumikazitakazotumika kupima maendeleo ya wanafunzi na ubora wa mtaala.
 
Kwa hiyo mtaala ni jumla ya mpango uliondaliwa kwa ajili ya kufundishia na kujifunza kwa lengo la kuwapatia walegwa maarifa ,stadi na mielekeo mbalimbali.
Mstari 31:
==Umuhimu wa kuwa na mtaala==
* Kudhibiti mfumo wa elimu
* KuwaongozaKuongoza walimu katika ufundishaji ili wasitoke nje ya malengo makuu ya elimu na falsafa ya nchi.
* Kuwezesha kurekebisha na kuendeleza elimu
* Kuweka malengo muhimu yaliyo kusudiwakufikia katika ufundishaji
* Mitaala niKuwa dira na mwongozo muhimu kwa walimu katika ufundishaji
* HutajaKutaja na Huelekezakuelekeza vifaanyenzo na nyenzovifaa vya kufundishia.
* HulekezaKuelekeza malengo makuu ya elimu katika jamii husika.
* HuchukuaKuchukua taswira yote ya falsafa ya elimu ya nchi inayohusika.
 
==Matumizi ya mtaala==
* Kusaidia walimu na wanafunzi kutambua malengo makuu yanayo kusudiwa kufikiwa katika utoaji wa elimu
* KumfahamishaKufahamisha mwalimu na mwanafunzi kuhusu masomo au mada atakazo fundishwa ili kufikia malengo aliyojiwekea
* KusaidiaKumsaidia mwalimu kutambua na kuchagua njia za kufundishia zinazofaa ili aweze kufikia malengo aliyojiwekea.
* Kumsaidia mwalimu na mwanafunzi kuchagua na kufaragua vifaa vya kufundishia na kujifunzia mada mbalimbali.
* Kumwelekeza mwalimu kuhusu njia atakazo kupimaatakazopima maendeleo ya wanafunzi na ubora wa mtaala wenyewe.
 
==Aina za mitaala==
Mstari 52:
 
===Mtaala rasmi===
Ni mkusanyikomkusanyo wa mambo yote anayopaswa kuyafanya na kuyafahamu mwanafunzi anapokuwa darasani. Au ni mtaala uliopangwa kwa madhumuni ya kumfundisha mwanafunzi katika mfumo rasmi wa elimu.
 
====Sifa za mtaala rasmi====
* Huainisha na kuweka wazi mambo, matendo na uzoefu wa aina yoyote ile ambayo mwanafunzi ataupata chini ya uongozi na usimamizi wa shule yaani taaluma ufundishaji na kujifunza katika kiwango fulani cha elimu.
* Huweka wazi aina ya walengwa
* Huweka wazi malengo ya kufundisha mtaala
* Huweka wazi mambo, matendo na uzoefu ambao mwanafunzi ataupata chini ya uongozi wa shule au chuo.
* Huweka bayana njia ambazo mwalimu atatumia kufundishia
* Huweka bayana njia za kupima maendeleo ya mwanafunzi
Mstari 65:
 
====Faida za mtaala rasmi====
* Kupunguza tofauti zinazoweza kutokea iwapo kila shule au jamii itajitungia mtaala wake.
* Kurahisisha kuandaa vifaa vya kujifunzia
* Kurahisisha ufuatiliaji na upimaji wa maendeleo ya wanafunzi
Mstari 75:
===Mitaala isiyo rasmi===
Ni mtaala unaofundisha mambo yote anayopaswa kujifunza mtoto nje ya mtaala ulio rasmi katika maisha ya kawaida ya kujifunzia. Mara nyingine mtaala huu huitwa mtaala uliofichika.
 
Mara nyingi mitaala hiyo huandaliwa kulingana na mahitaji ya jamii ya mwanafunzi na jamii husika kwa wakati ule.
 
====Sifa za mtaala usio rasmi====
* Hutokana na jamii au mazingira anayoishi mwanafunzi.
* Mada au mambo anayofundishwa zinalenga kumpatia mwanafunzi maarifa na stadi za kutatua matatizo aliyo nayo kwa wakari ule.
* Hukazia maarifa na stadi zinazo lenga kutatua matatizo yanayokabili jamii husika.
* Unaweza ukakoma mara matatizo yanapomalizika.
* Kwa kawaida haupangwi na kuratibiwa na njia kwa njia zilizo rasmi
* Mwanafunzi anaweza kupata maarifa na stadi bila kuwa chini ya usimamizi wa shule au chuo.
 
====Mapungufu====
Line 107 ⟶ 108:
===Umuhimu wa malengo ya mtaala===
Malengo kama kipengele cha msingi cha mtaala yana umuhimu mkubwa kwani:
* Huwa ni msingi wa vipengele vingine vyote viine vya maudhui ya mtaala.
* Huwa ni msingi wa malengo katika ngazi/kiwango vyote vya elimu-elimu ya msingi, sekondari na vyuo.
* Huwa ni msingi wa shughuri za kazi za wakuza mitaala. Wakaguzi na walimu, wanafunzi na watawala wa elimu.
 
Line 116 ⟶ 117:
Baadhi ya malengo ya kitaifa ni
* kuongoza kuendeleza na kukuza vitu na uwezo wa watanzania ili waweze kutumia rasilimali zilizopo kuleta maendeleo yao binafsi na kwa Taifa zima
* Kukuza ari ya Watanzania ili wapende kuthamini utamaduni, mila na desturi za kitanzania.nchi
* Kuendelezana kukuza ndani ya Watanzania moyo wa kujiamini na tabia ya kisayansi, uelewa wao na kuuheshimu.
 
====Sifa za malengo ya jumla====
* Huchukua muda mrefukukamilika. Mfano hadi mwisho wa program.programu
* Siyorahisi kuyapima kwa sababu hayako wazi.
* Huchukua vitendo kama kujua, kufahamu nkn.k.
 
===Malengo mahususi===
Line 131 ⟶ 132:
Maudhui haya ndio yawezayo kumuongoza mwalimu kutoa maarifa na stadi ambazo zinaweza kubadili tabia ya mwanafunzi ambayo inaweza kupimika.
 
Kwa mfano tunapofundisha somo la Hisabati,tunatarajia kuona mabadiliko Fulanifulani katika tabia ya mtoto kutokana na kujifunza somo zima au mada fulani. Mabadiliko hayo yanaweza yakawa maarifa,stadi au mwelekeo mwanafunzi anaouonyesha kutokana na kujifunza somo la Hisabati ambao hakuwa nao kabla ya kujifunza somo hilo.
 
Tunaweza kugawa malengo mahususi katika Nyanja tatu ambazo ni
Line 141 ⟶ 142:
* Ni malengo yaliowazi
* Ni rahisi kupima kufanikiwa au kutofanikiwa kwake
* Hutumia muda mfupi wa ukamilishaji wake.
* Huumia vitendo kama fafanua,taja,eleza nkn.k.
 
==Maudhui==
Katika kuunda maudhui ya mtaala ni vizuri kuzingatia maswali kama vile:
* Ni maarifa na stadi zipi zinafaa kwa kiwango kipi cha elimu.
* Ni tabia na mwenendo upi unaofaa kurithiwa.
 
===Misingi/vigezo vya kuchagua maudhui ya mtaala===
* UtabitiUthabiti: Uwezo wa maudhui katika kutimiza malengo ya masomo katika kiwango husika.
* Umuhimu: Maudhui yanayopewa kipaumbele ni yale yanayolingana hali halisi ya mausha ya jamii, uchumi wan chi inayohusika. (Ni yale yenye umuhimu katika maisha ya walengwa).
* Mvuto: Maudhui yafaayo ni yaleyenye kuvutia na yenye kuamsha ari ya mwanafunzi ya kupenda kufahamu maudhui hayo.
Line 196 ⟶ 197:
* Kuongoza waandishi wa kitabu cha kiada ,kiongozi cha mwalimu na vitabu vya rejea
* Kuelekeza njia zifaazo katika kufundisha na kujifunzia
* Kuandalia mwongozo wa upimaji wa maendeleo ya wanafunzi kwa mwaka au kwa kipindi cha miaka kadhaa.
* Kutathmini mtaala baada ya kipindi maalumu cha matumizi ya muhtasari huo.
 
Line 204 ⟶ 205:
====Sifa za kitabu cha kiada====
* Kiwe chenye lugha rahisi inayo eleweka kulingana na kiwango cha mwanafunzi
* Kiwe na mada zinazopangwa kwa mtiririko wenye mantiki kuanzia mada kuanzia mada rahisi hadi zile ngumu.
* Kiwe na maandishi yanayosomeka kwa urahisi ya kuvutia
* Kiwe na maelekezo na mazoezi yanayomshirikisha mwanafunzi katika kujifunza
* Kiwe kinaendana na muhtasari pamoja na kiongozi cha mwalimu.
 
====Matumizi ya kitabu cha kiada====
Mwalimu hukitumia kwa kuelekeza maarifa. Hutumiwa na mwanafunzi pia kwa kujikumbushia na kufanya marudio.
Hutumiwa na mwanafunzi kwa kujikumbushia na kufanya marudio
 
====Uchambuzi wa kitabu cha kiada====
Mstari 225:
* Mazoezi ya kulingana na mada zilizoko katika kitabu cha kiada
* Jinsi ya kupima ujifunzaji wa wanafunzi
* Majibu ya mazoezi na na maswali yaliyomo katika kitabu cha kiada.
* Mapendekezo ya vitabu vya rejea vitakavyosaidia kutoa maarifa ya ziada kuhusu mada husika.
 
====Umuhimu wa kitabu cha mwalimu====
* Humweleza mwalimu jambo la kufanya la kufanya humpa dira au mwelekeo wa ufundishaji.
* Humsaidia mwalimu kujijengea moyo wa kujiamini na hasa kama si mzoefu wa ufundishaji wa somo hilo.
* Humsaidia mwalimu katika kuandaa somo
* Humpa mwalimu maudhui na mifano ya ziada kuzidi kuzidi kumpanua mawazo na upeo.
Mstari 236:
====Dhana ya kitabu cha mwalimu====
* Ni kitabu kinachotoa maelezo ya kina kuhusu ufundishaji wa somo fulani
* Kinaelezaa jinsi ya kutenda katika hatua zote tangua uandaaji wa somo, ufundishaji hadi upimaji.
* Ni mwongozo ambao unammpa mwalimu ujuzi wa ufundishaji.
 
====Sifa za kitabu cha mwalimu====
* Kina vitendo vyote ambavyo mwalimu hupaswa kutenda katika hatua za ufundishaji.
* Kinaeleza jinsi ya kutekeleza kazi ya ufundishaji hatua kwa hatua.
* Huweza kutumiwa na mwanafunzi pia
* Hutoa ufafanuzi wa mada kwa kiwango cha juu zaidi ili kupanua mawazo ya mwalimu na kumuimarisha zaidi kitaaluma.