Content deleted Content added
Tag: 2017 source edit
Mstari 1,080:
 
::::Klabu ya Wikipedia ni Jumapili tu. Siku nyingine zote kuanzia saa 8:00 mchana wanafunzi wanaruhusiwa kwenda chumba cha tarakilishi kujisomea lolote. Kama ukipenda klabu iwe siku tofauti na Jumapili, tunaweza kuibadilisha, lakini iwe mara moja kwa juma. Asante kwa ushirikiano wako na amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 13:06, 18 Februari 2020 (UTC)
 
:::::Sawa basi ngoja ibakie jumapili kama ilivyo kwa sasa, mwanzo nilidhani kuwa kuna siku nyingine katikati ya wiki ya Wikipedia. Asante! MagoTech Tanzania 23:08, 18 Februari 2020 (UTC)