Albert Camus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
fix file parameters
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
[[Picha:Albert Camus, gagnant de prix Nobel, portrait en buste, posé au bureau, faisant face à gauche, cigarette de tabagisme.jpg|thumb||250px|Albert Camus]]
 
'''Albert Camus''' ([[7 Novemba]] [[1913]] – [[4 Januari]] [[1960]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Alizaliwa katika nchi ya [[Algeria]]. Hasa anajulikana kwa [[riwaya]] zake, k.m. "[[Mgeni]]" (kwa Kifaransa ''L'Étranger'', mwaka wa 1942) au "[[Tauni]]" (''La Peste'', mwaka wa 1947). Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''. Aliuawa katika ajali ya motokaa.