Lugha za Kiturki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +jamii
fix file parameters
 
Mstari 1:
[[Picha:Turkic languages.png||thumb|450px|Usambaji wa lugha za Kiturki katia Asia]]
'''Lugha za Kiturki''' ni kundi la lugha zaidi ya 30 zinazozungumzwa kutoka [[Ulaya ya Mashariki]] hadi [[Asia ya Kati]] na watu milioni 210. Zinahesabiwa kuwa sehemu za [[lugha za Kialtai]] pamoja na [[Kichina]], [[Kimongolia]], [[Kijapani]] na [[Kikorea]]. Wasemaji wa lugha za Kiturki husikizana kwa kiasi kikubwa. Lugha ya Kiturki inayojulikana zaidi kimataifa pia yenye wasemaji wengi ni [[Kituruki]] cha [[Uturuki]].