Timo Werner : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
Mnamo 2010, alifunga hat-trick yaani magoli matatu kwenye mechi yake ya kwanza ya Ujerumani chini ya miaka 15 kwenye mechi dhidi ya Poland. Miaka miwili baadaye, alikuwa sehemu ya [[timu ya taifa]] ya [[Ujerumani]] iliyomaliza kwa kufanya vizuri katika Mashindano ya Ulaya ya chini ya miaka 17.
 
Werner aliitwa kwenye kikosi kikuu cha Ujerumani mnamo mwaka 2017 na kocha mkuu Joachim Löw akiwa na miaka 21 kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Uingereza na mchezo wa kufuzu [[Kombe la Dunia la FIFA 2018]] dhidi ya Azerbaijan mnamo tarehe [[26 Machi]] 2017.<ref>https://www.bundesligakicker.comde/en673466/news/Bundesliga/rb-leipzig-timo-werner-mario-gomez-germany-world-cup-hope-472028.jspartikel</ref>
 
==Tanbihi==