Mohamed Chande Othman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mohamed Chande Othman.jpg|thumb|Mohamed Chande]]
'''Mohamed Chande Othman''' (alizaliwa [[1 Januari]] [[1952]]) ni wakili wa [[Tanzania]] na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania.Kwa kimataifa anaheshimiwa sana kwa uelewa wake wa kina wa kisiasa, kisheria na vipimo vingine vinavyohusiana na Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu, Sheria kuhusu Wakimbizi, Sheria ya Makosa ya Jinai na Ushuhuda, na Utunzaji wa Amani.
 
Alishikilia nyadhifa mbali mbali kama mshauri mtaalam na mwendesha mashtaka wa UN katika mahakama za uhalifu kama UNDP Kambosya, (UNTAET).Hivi sasa yeye ni mkuu wa Jopo la Wataalam wa Umoja wa Mataifa linaloangalia habari mpya juu ya kifo cha Dag