Tofauti kati ya marekesbisho "Havilland de Sausmarez"

(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'border|right|frameless|244x244px '''Havilland de Sausmarez''' alikuwa hakimu wa mahakama kadhaa za U...')
 
[[Picha:Tcitp_d412_havilland_w_de_sausmarez.jpg|border|right|frameless|244x244px]]
'''Havilland de Sausmarez'''<ref>{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/670484843|title=The Cathedral Church Of Hereford : a description of its fabric and a brief history of the episcopal see|last=Fisher, Hugh A.|date=1898|publisher=George Bell & Sons|isbn=600-00-0000-6|location=London|oclc=670484843}}</ref> alikuwa [[hakimu]] wa [[mahakama]] kadhaa za [[Uingereza]] za kikoloni huko [[Afrika]] na [[Asia]], Dola ya Ottoman na [[China]].
 
Nafasi yake ya mwisho ya mahakama kabla ya kustaafu ilikuwa kama Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Uingereza kwa China.
 
== Kurudi Guernsey ==
Sausmarez alistaafu mnamo mwaka 1920.<ref>{{Cite web|title=Volume 1920 - Issue 2735 (1920-01-10)|url=http://dx.doi.org/10.1163/2214-8345-ncho-nch_1920_151_2735|work=The North China Herald Online|accessdate=2020-02-23}}</ref> Baada ya kuondoka [[Shanghai]], Sausmarez aliweka makazi yake katika Sausmarez Manor huko [[Guernsey]]. Mke wake, Annie, Lady de Sausmarez, GBE, alikuwa mhisani.
 
== Wanafunzi wa Havilland de Sausmarez ==
280

edits