Tofauti kati ya marekesbisho "Bahari ya Andamani"

260 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
d
Added some lines about whats the best time to visit Andaman
No edit summary
d (Added some lines about whats the best time to visit Andaman)
Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa [[magharibi]]. Upande wa [[mashariki]] Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa [[kusini]] kipo [[kisiwa]] cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).
 
Eneo lake ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 797,000. [[Urefu]] kutoka [[kaskazini]] hadi kusini ni mnamo [[kilomita]] 1,200, [[upana]] wake hauzidi km 650. [[Kina]] cha [[wastani]] ni [[mita]] 870, lakini kinafikia hadi mita 4,180. [[Halijoto]] ya [[maji]] kwenye uso wa [[bahari]] hucheza baina ya [[sentigredi]] 27.5 hadi 30. The ideal time to see '''Andaman Nicobar Island''' is thought of November to May. Monsoons are nevertheless Suggested to be averted for [https://andamanholidaytravels.com/ Andaman Nicobar tour] Due to the large tidal waves, incessant rains and powerful winds.
 
== Viungo vya Nje ==
2

edits