Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Maisha: By adding the death date
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.222.180.163 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 7:
 
Mwaka 1971 alirudi chuoni Dar es Salaam akawa mhadhiri msaidizi wa chuo alipoandika pia tasinifu ya M.A. kuhusu riwaya za [[Shaaban Robert]], tangu 1974 mhadhiri kamili na 1978 mhadhiri mwandamizi. Akaendelea na masomo ya [[Ph.D.]] huko [[Marekani]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Wisconsin]] Madison alipotoa [[tasinifu]] yake mwaka 1985 kuhusu "African Philosophy and the Problem of Literary Interpretation". Sasa (mwaka 2012) ni profesa wa lugha za Kiafrika kwenye Chuo Kikuu cha Botswana.
Mwaka 2020 profesa Kezilahab alifariki dunia. Mtandao wa masshele Swahili na wadau wote wa fasihi ya kiswahili na kiafrika tunatambua mchango wake mkubwa.
 
==Maandiko==