Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Protected "Euphrase Kezilahabi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Euphrase Kezilahabi''' ([[Namagondo]], [[Ukerewe]], [[13 Aprili]] [[1944]] - [[
==Maisha==
Mstari 6:
Mwaka 1967 alijiandiskisha kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] akasoma ualimu na fasihi hadi digrii ya [[B.A.]] katika mwaka 1970. Mwaka uleule 1970 akawa mwalimu wa shule ya sekondari [[Mzumbe]] ([[Morogoro]]) halafu kwenye shule ya sekondari ya Mkwawa (Iringa).
Mwaka 1971 alirudi chuoni Dar es Salaam akawa mhadhiri msaidizi wa chuo alipoandika pia tasinifu ya M.A. kuhusu riwaya za [[Shaaban Robert]], tangu 1974 mhadhiri kamili na 1978 mhadhiri mwandamizi. Akaendelea na masomo ya [[Ph.D.]] huko [[Marekani]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Wisconsin]] Madison alipotoa [[tasinifu]] yake mwaka 1985 kuhusu "African Philosophy and the Problem of Literary Interpretation".
Mwaka 2020 aliaga dunia akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-51046765 Profesa Euphrase Kezilahabi: Mwandishi nguli wa vitabu nchini Tanzania aaga dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu], tovuti ya BBC Kiswahili, tar. 9 Januari 2020, iliagaliwa Februari 2020</ref>.
==Maandiko==
|