Bahari ya Andamani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Added some lines about whats the best time to visit Andaman |
d Masahihisho aliyefanya İemsajid (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 5:
Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa [[magharibi]]. Upande wa [[mashariki]] Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa [[kusini]] kipo [[kisiwa]] cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).
Eneo lake ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 797,000. [[Urefu]] kutoka [[kaskazini]] hadi kusini ni mnamo [[kilomita]] 1,200, [[upana]] wake hauzidi km 650. [[Kina]] cha [[wastani]] ni [[mita]] 870, lakini kinafikia hadi mita 4,180. [[Halijoto]] ya [[maji]] kwenye uso wa [[bahari]] hucheza baina ya [[sentigredi]] 27.5 hadi 30
== Viungo vya Nje ==
|