Majadiliano:Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na ';Hifadhi ya majadiliano ya awali {{archive box collapsible|Nyaraka *Mwanzo/Jalada 1 *Wikipedia:Mwanzo/Jalada2: 2010-2017}} == World Yout...'
Tag: Replaced
Mstari 1:
;Hifadhi ya majadiliano ya awali
{{archive box collapsible|Nyaraka
*[[Mwanzo/Jalada 1]]}}
*[[Wikipedia:Mwanzo/Jalada2: 2010-2017]]}}
 
==Featured Pages==
Kama nilivyoandika [[https://sw.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:Kipala#Kurasa_Za_Mbele|kwenye ukurasa wa mhariri wetu Kipala]]... Kuna mahali nilisoma kwamba sababu moja kuu mbona watu wengi hawatumii mtandao kwa lugha yao ya kiasili ni kwa sababu hawapati habari au hadithi zinazowafaa. Kwa mfano, Mozart, kwa sasa, yupo kwenye ukurasa wa kwanza. Mimi binafsi naipenda muziki yake, lakini itamsaidiaje mama mzee kutoka Morogoro kusoma kuhusu Mozart, badala ya kumhusu watu kama Salif Keita, ama Bi Kidude, ama Baraka Mwinshekhe?
 
Mbona mama huyo asimwone mwanamuziki Saida Karoli kwenye landing page? Ama Daudi Kabaka? Mbona taarifa nyingi tunazopata ni za kuwahusu kina Queen Latifah? Ni ombi langu kwamba tuwe tunaweka taarifa zinazohusu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye landing page.
 
Shukran!
 
'''[[Mtumiaji:Luckimg2|Luckimg2]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Luckimg2|majadiliano]])''' 21:37, 12 Julai 2017 (UTC)
 
==Photo request==
Where would I place a photo request?
 
I would like for someone to photograph the Kenya Airways head office on Airport Road North in Embakasi, Nairobi.
 
Thanks
'''[[Mtumiaji:WhisperToMe|WhisperToMe]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:WhisperToMe|majadiliano]])''' 22:22, 4 Desemba 2010 (UTC)
 
::Well if you are in Nairobi grab a taxi and go to Embakasi; I do not know anyone active at the time who now is in Nairobi. Did you try their PR-office? Wikipedia is a good PR. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:23, 8 Agosti 2015 (UTC)
 
:::Though this is late, if any Wikipedian wants a place close to JKIA, they can contact me. '''[[Mtumiaji:Luckimg2|Luckimg2]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Luckimg2|majadiliano]])''' 21:31, 12 Julai 2017 (UTC)
 
== TCEO ni nini? ==
 
TCEO ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu Mjini Dodoma. Ofisi yake ipo katika Jengo la CCT CHURCH HOUSE ghorofa la pili chumba namba 27 & 28 anuani yetu ni SLP 2440 Dodoma. Pamoja na mambo mengine tunajihusisha sana na utafiti na uchimbaji wa Maji mijini na vijijini. Tunao wafanyakazi wa kudumu watano.Na kilefu cha TCEO ni (TN Community Empowerment Organisation) wakati kirefu cha TN ni TukoNawe.
 
Pata maelezo zaidi hapa chini.
 
TN Community Empowerment Organization was established in January 2008 to empower communities in Dodoma to fight against poverty and diseases, and to establish projects for the purpose of raising funds to help vulnerable persons. The organization is governed by a board of governors and day to day management is under the Managing Director.
The vision is to see marginalized people learn to provide for themselves without begging from other people. So in this endeavor TCEO will mobilize human, material and financial resources and use them efficiently and effectively for promoting the welfare of beggars, street children, and the disabled.
The main cause of marginalization is poverty. Tanzania is among the poorest countries of the world, with a per capital income of less than US $ 300 per day. Most of her people live below the internationally defined poverty line of US 2 per day. It is in this environment that TCEO is planning to participate to solve the problems of vulnerable persons.
Also Tanzania is among the countries with the highest number of AIDS patients. The Government has put in place an enabling environment deal with the AIDS pandemic, where the Central Government, local governments, NGO, CBO, FBO, donors, firms and individuals work together in various ways to combat the pandemic. These efforts are coordinated by TACAIDS.
Poverty and HIV/AIDS contribute greatly in creating vulnerable persons. This in a country that is credited for being the most peaceful and democratic in the turbulent Great Lakes region, that has held general elections regularly at intervals of five years since 1961. The country is expected to be a middle income country by 2025 characterized by quality life; a strong, growing and competitive economy; good governance; an educated and learning population; and peace, unity and solidarity.
The economy of Tanzania has been growing at around 7 per cent per year since 2002, the fastest growing sectors being mining, construction, and finance. Inflation has been below 5 % between 1999 and 2006, and began to increase to 7% in 2007 and jumped to 13. 3% per cent during the year ending February 2009.
Poverty is broadly defined as a state of deprivation, denial of decent life, which includes exclusion, isolation, and vulnerability. Other dimensions of poverty are income poverty and food poverty. The Government has come up with many poverty reduction strategies, the most recent one being The National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) popularly known as Mpango wa Kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzania (MKUKUTA). This is an area which TCEO
 
== Wito kwa habari za afya ==
 
There is a call [http://hesperian.org/2014/08/05/call-for-flyers-brochures-posters-and-booklets-in-swahili-on-community-health-education/ here] for health information in Swahili. --'''[[Mtumiaji:Daniel Mietchen|Daniel Mietchen]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Daniel Mietchen|majadiliano]])''' 21:06, 13 Agosti 2014 (UTC)
 
== Ipagala KKKT Mkutano Mkuu June 2016 ==
 
MUHTASALI WA KIKAO CHA MKUTANO MKUU WA USHARIKA.
JUNE 5, 2016
MAHUDHURIO:
1. Mch. Simon Mtawa…….………………..Mwenyekiti
2. Mzee Mwambene W J……………………Katibu
3. Mzee Elisa Maro………………………….Mtunza Hazina
4. Ndugu Happiness Ngaoh…………………Mjumbe
5. Ndugu Halime Shembilu…………………Mjumbe
6. Mzee Rehema Kweka…………………….Mjumbe
7. Mzee Mary A. Shayo……………………..Mjumbe
8. Ndugu Janeth Mndeme……………………Mjumbe
9. Mzee Elihuruma Simon…………………..Mjumbe
10. Mzee Godwin Shembilu………………….Mjumbe
11. Ndugu Charles Ngoda……………………Mjumbe
12. Ndugu Dastan Makange………………….Mjumbe
13. Ndugu Rchard Njau………………………Mjumbe
14. Ndugu Anthony Simon…………………..Mjumbe
15. Ndugu Neema Makange…………………Mjumbe
16. Mzee Violeth Mwambenja………………Mjumbe
17. Mzee Nelli Mwang’oka………………….Mjumbe
18. Ndugu Lugano Mtawa……………………Mjumbe
19. Ndugu Daudi Gidioni…………………….Mjumbe
20. Mzee Rhoda Bendera…………………….Mjumbe
21. Ndugu Goodluck Mlai……………………Mjumbe
22. Ndug Anna Zakayo………………………Mjumbe
23. Ndugu Honorata Mola……………………Mjumbe
24. Ndugu Joyce Emmanuel………………….Mjumbe
25. Ndugu Joye Elikalia Maro………………..Mjumbe
26. Ndugu Happyness Kihiyo………………..Mjumbe
27. Ndugu Dora Masamu……………………..Mjumbe
28. Ndugu Eliuwingi Mwanga……………….Mjumbe
29. Ndugu Amen Mwakalobo………………..Mjumbe
30. Ndugu Judith Mbwambo…………………Mjumbe
31. Ndugu Grace A. Mushi…………………..Mjumbe
32. Ndugu Elirehema W. Lyimo……………..Mjumbe
33. Ndugu Sarah C. James……………………Mjumbe
34. Mzee Margareth Senkondo……………….Mjumbe
35. Ndugu Penina Peter Nsemwa……………..Mjumbe
36. Ndugu Edina Daniel………………………Mjumbe
37. Ndugu Lucy Raphael Maro……………….Mjumbe
38. Ndugu Mama Lacha………………………Mjumbe
39. Mzee Esther Ambakisye………………….Mjumbe
40. P/W E Ringo(Mstaafu)……………………Mjumbe
41. Mzee Neema R.Kileo……………………..Mjumbe
42. Ndugu Silivia Maganga…………………..Mjumbe
43. Ndugu Esther Chao………………………..Mjumbe
44. Ndugu Elly Chao…………………………..Mjumbe
45. Ndugu Neema I Swai………………………Mjumbe
46. Ndugu Nala Anthony………………………Mjumbe
47. Ndugu Esther Msigwa……………………..Mjumbe
48. Ndugu Vumilia Mbeyela………………….Mjumbe
49. Ndugu Ruth E. Mariki…………………….Mjumbe
50. Ndugu Baraka J Mtera…………………….Mjumbe
51. Ndugu Issack Mtera……………………….Mjumbe
52. Ndugu Amani E Matowo…………………Mjumbe
53. Ndugu Brian O. Kimaro…………………..Mjumbe
54. Ndugu Ibrahim Brown……………………Mjumbe
55. Ndugu Michael John……………………...Mjumbe
56. Ndugu Edson Ndossi……………………..Mjumbe
57. Ndugu Sweetbart Baruti………………….Mjumbe
58. Mzee Erick Kitali…………………………Mjumbe
59. Ndugu Prince Matowo……………………Mjumbe
60. Ndugu Tumaini Msami……………………Mjumbe
61. Ndugu Joel Benjamin……………………..Mjumbe
62. Ndugu Jackson Rogathe…………………..Mjumbe
63. Ndugu Msafiri Ibahati…………………….Mjumbe
64. Mzee Lenna Mtivike……………………...Mjumbe
65. Ndugu Dennis M. Johannes………………Mjumbe
66. Ndugu Charles Y. Samila…………………Mjumbe
67. Ndugu Nelson Mawala……………………Mjumbe
68. Ndugu George Andwilile…………………Mjumbe
69. Ndugu Peter J. Kazimoto…………………Mjumbe
70. Ndugu Enock Sovela……………………..Mjumbe
71. Ndugu Elisante Shuma……………………Mjumbe
72. Ndugu Abel Kisanga………………………Mjumbe
73. Ndugu Shemaya Bihopho…………………Mjumbe
74. Ndugu Godfrey Kilongo…………………..Mjumbe
75. Ndugu Paul Kitalika……………………….Mjumbe
76. Ndugu Datson Wilson……………………..Mjumbe
77. Ndugu Neema Ndove………………………Mjumbe
78. Ndugu Anna Newton……………………….Mjumbe
79. Mzee Grace Tweve………………………….Mjumbe
80. Ndugu George Stewart………………………Mjumbe
81. Ndugu Elyn Kashamba………………………Mjumbe
82. Ndugu Maria Michaelly……………………..Mjumbe
83. Ndugu Joseph K. Monde……………………Mjumbe
84. Ndugu Heaven Mossi……………………….Mjumbe
85. Dr. Francis Lutalala…………………………Mjumbe
86. Ndugu Loy Manase…………………………Mjumbe
87. Mzee Livingstone Mmari…………………..Mjumbe
88. Mzee Gipson Samu…………………………Mjumbe
89. Ndugu Judith Samu…………………………Mjumbe
90. Ndugu Israel Swai…………………………..Mjumbe
91. Ndugu Angelina M. Lutalala………………..Mjumbe
92. Ndugu Labikie Laizer……………………….Mjumbe
93. Ndugu Godfrey Machange………………….Mjumbe
94. Ndugu Yona Alfred…………………………Mjumbe
95. Ndugu Allen Mtenga……………………….Mjumbe
96. Ndugu Japhet Ishengoma…………………..Mjumbe
97. Ndugu Emmanuel Njeleka………………….Mjumbe
98. Ndugu Laurian H. G. Kihiyo………………..Mjumbe
99. Ndugu Eliudy M. Ngogo……………………Mjumbe
100. Mzee Lawrence Lema……………….Mjumbe
101. Ndugu Julius A Kweka……………….Mjumbe
102. Mzee Jackson Mmbando……………..Mjumbe
103. Mzee Laurent Kamayugi……………..Mjumbe
104. Ndugu Lilian T Uroki…………………Mjumbe
105. Ndugu John Z Uroki………………….Mjumbe
106. Ndugu Japhet Mabula…………………Mjumbe
107. Ndugu Methusela Gwimile………….Mjumbe
108. Ndugu Godfrey Matima……………..Mjumbe
109. Ndugu Margareth Matowo…………..Mjumbe
110. Ndugu Elisonguo Matowo…………..Mjumbe
111. Ndugu Elimsa Ndosi…………………Mjumbe
112. Ndugu Elibariki S. Misholi………….Mjumbe
113. Ndugu Solomon Ambakisye…………Mjumbe
114. Ndugu Dayoster Misholi…………….Mjumbe
115. Ndugu Frank A Senkondo………….Mjumbe
116. Ndugu Angela Mazigwa……………Mjumbe
117. Ndugu Paul Mkilanya……………….Mjumbe
118. Mzee Margareth Mkilanya…………..Mjumbe
119. Ndugu Christa E. Ngogo…………….Mjumbe
120. Ndugu Anna J. Ndosi………………..Mjumbe
121. Ndugu Gresi Paul……………………Mjumbe
122. Ndugu Olipa B. Baruti………………Mjumbe
123. Ndugu Nsajigwa Mwambene………..Mjumbe
124. Mzee Mary Tarimo………………….Mjumbe
125. Mzee Teckla Mushi………………….Mjumbe
126. Ndugu Fildon Julius…………………Mjumbe
127. Ndugu Gresi Julius…………………..Mjumbe
128. Ndugu Cecilia John………………….Mjumbe
129. Ndugu Beatrice John…………………Mjumbe
130. Ndugu Rhoda Sanga……………………..Mjumbe
131. Ndugu Tulibako Tulibonywa Mwaisuba..Mjumbe
132. Ndugu Mama Magumula………………..Mjumbe
133. Ndugu Fredrick Felix……………………Mjumbe
134. Ndugu Frank Felix……………………….Mjumbe
135. Ndugu Lightness Felix…………………...Mjumbe
136. Ndugu Lilian Charles……………………Mjumbe
137. Ndugu Evelyne Patrick…………………..Mjumbe
138. Ndugu Angel Benson..……………………Mjumbe
139. Ndugu Edda Green……………………….Mjumbe
140. Ndugu Regina Marco…………………….Mjumbe
141. Ndugu Josephina Malle…………………..Mjumbe
142. Ndugu Hawa Mwalukasa…………,,…….Mjumbe
143. Mzee Esther G Swai……………………..Mjumbe
144. Ndugu CharityMagreth A.Mbasha……….Mjumbe
145. Mzee Haika Meta…………………………Mjumbe
146. Ndugu Catherine Mhando…………………Mjumbe
147. Ndugu Vumilia Mwachanila……………….Mjumbe
148. Ndugu Suzan Kitwange…………………….Mjumbe
149. Ndugu Tumaini Kilawa……………………..Mjumbe
150. Ndugu Abigaeli Paschal…………………….Mjumbe
151. Ndugu Lusiana S. Kayoka…………………..Mjumbe
152. Mzee Annael R. Malya……………………Mjumbe
153. Ndugu Jemima…………………………….Mjumbe
154. Ndugu H. Masamu………………………..Mjumbe
155. Ndugu Marunda E Robert………………..Mjumbe.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
AGENDA:
1) Kufungua kikao
2) Mwongozo wa sadaka za Jumuiya
3) Taarifa ya Katibu
4) Taarifa ya Mchungaji
5) Mengineyo
6) Kufunga kikao.
 
KUFUNGUA KIKAO.
Mwenyekiti alifungua kikao kwa wimbo No 301(Mungu ni pendo) akasoma neno toka Yohana mt. 17:20-21 katika mahubiri mkazo ukawa tuwe na umoja ili tuweze kuijenga kazi ya Bwana katika haki na kweli ili tuweze kuufikia mwisho mwema. Kisha akafanya sala ilikuwa saa 4.20 Asubuhi.
 
Mwongozo wa sadaka za Jumuiya
Mwenyekiti alimkaribisha Katibu ili aweze kutusomea agenda na ufafanuzi kuhusu akidi. Katibu alisoma agenda zote na katika kufafanua akidi alisema hatuwezi kuhakiki akidi kwani hatujawahi kufanya mkutano mkuu kama huu, hivyo leo hatahakiki akidi naomba mlipokee hilo. Jambo la pili ni kuwa tulikuwa na kamati iliyoandaa Mwongozo wa Sadaka za Jumuiya naomba niikaribishe kamati yetu ili iweze kuwasilisha mwongozo huu.
Kiongozi wa jumuiya aliwasilisha kisha yalikaribishwa maswali au maoni kama yapo: wajumbe waliuliza kama ifuatavyo:-
 
Matowo: Jumuiya ya Sayuni A
Alipongeza ufafanuzi wa Neno ‘Mchungaji’ katika mwongozo huu hasa ukurasa wa kwanza maana lilikuwa linatuletea sintofahamu nyingi hasa tunapoomba fedha lakini kwa ufafanuzi huu tunajua sasa Mchungaji anasimama wapi na sisi twende vipi. Pongezi zilipokelewa.
Angelina Rutalala: Jumuiya ya Lawi.
Aliomba kuwe na usawa katika kutoa rambirambi pindi misiba inapotokea. Alijibiwa:- Tulishapitia hilo na kulitafakari kwa kina kisha tukafikia maamuzi hayo kila Jumuiya itatoa rambirambi kulingana na fungu la Jumuiya lina ukubwa gani.
 
Joyce Emmanuel: Jumuiya ya Yeriko:
Aliuliza kwa nini zawadi ya kipaimara tumepangiwa Biblia na kitabu cha tumwabudu Mungu wetu tu? Je Jumuiya ikitaka kutoa zawadi zaidi ya hizo inaruhusiwa? Alijibiwa: kwenye kipaimara hatuangalii uwezo bali tunaangalia usawa kwa wote naomba mlipokee hivyohivyo. Walijibu viongozi wa kamati
Mwenyekiti aliongezea kuwa hata mavazi tunatamani tushone majoho kwa vijana wote tunaangalia hali ya fedha ikiruhusu mavazi pia yatakuwa ya aina moja kwa wote. Na yatakuwa ni mavazi ya kanisa kwa kila mwaka.
 
 
Mama Lacha: Jumuiya ya Betherehemu
Kwenye ukurasa wa tatu naomba pesa ya Jumuiya isiingie kwenye matumizi ya Usharika. Alijiwa: Hakuna sehemu tuliposema pesa zote ziende kwenye matumizi ya Usharikani.
 
Sara James: Jumuiya ya Sayuni A
Ikitokea uhitaji wa pesa kwenye Usharika ruhusa ya Jumuiya itolewe haraka. Alijibiwa tumelipokea.
 
Bethsela Bwile: Jumuiya ya Yeriko.
Kwa nini tunakataliwa kuchukua sadaka na kutoa shukrani wakati pesa hizi ni za Jumuiya? Alijibiwa huwezi kuchukua Sadaka ili kutoa Sadaka.
 
Matowo: Jumuiya ya Sayuni A
Tunaomba uharaka katika utendaji wa kutekeleza hili kila Jumuiya inapoomba pesa ipewe kwa wakati. Alijibiwa Ofisi yetu haina urasimu hata kidogo hakuna maombi yanayochelewa ila viongozi wa jumuiya huomba pesa kisha hawaji kuchukua.
 
Mama Lacha: Jumuiya ya Betherehemu
Tufute neno Diakonia na Mengineyo na tuandike matumizi ya Mchungaji kwa sababu mchungaji anatakiwa kutunzwa na jumuiya zetu. Alijibiwa kama Jumuiya inataka kumsaidia Mchungaji hiyo ndio Diakonia na kama hamtaki kutumia Diakonia basi kwenye mengineyo omba pesa kisha andika kumsaidia Mchungaji lakini hatuwezi kufuta.
 
Angelina Rutalala: Jumuiya ya Lawi:
Kupitia mwongozo, tuainishe tuweke vipindi vya mapitio, napendekeza tuupitie kila baada ya miaka miwili. Alijibiwa tumelipokea tukiridhia linawezekana
Baada ya majadiliano hayo na mawasilisho hayo mkutano mkuu ukapitisha kwa kauri moja MWONGOZO WA SADAKA ZA JUMUIYA uwanze kutumika rasmi tarehe 5/6/2016.
 
Taarifa ya Katibu.
Mwenyekiti alimkaribisha Katibu ili asome taarifa ya katibu. Aliisoma kisha Mwenyekiti alikaribisha maswali au maoni kama yapo kupitia ukurasa kwa ukurasa. Maswali na maoni yakawa kama ifuatavyo:-
 
P/W Elizabeth Ringo:
Kwa kuwa huu ni mkutano wa kwanza tunaomba tungeandikiwa majina ya watumishi wote walioajiliwa na Usharika wetu pia yangeandikwa majina ya wazee wote. Alijibiwa tumelipokea tutafanya hivyo mkutano ujao lakini kwenye taarifa ya Mchungaji majina yote yapo. Tumelipokea.
 
Frank Senkondo:
Tunaomba watumishi wote wanaoajiliwa na Usharika wathibitishwe kwenye mkutano mkuu kama huu kabla ya kuajiriwa. Alijibiwa hakuna mtumishi anaeajiriwa bila kufuata taratibu ndio maana tunatangaza mwezi mzima tunawafanyia usaili na mwenye sifa ndio tunamchukua sasa tukisubiri tumlete kwenye mkutano kama huu tutachelewesha huduma tunaomba muiamini ofisi tuko makini na ajira hizi.
 
Angelina Rutalala:
Wazee wengi wa kanisa hatuwafahamu kwa majina je inawezekana kuvaa Beji zenye majina yao hasa wanaokuwa kwenye huduma ili wafahamike? Alijibiwa linawezekana tumelipokea tutalifanyia kazi.
 
Abel Kisanga:
Neno ‘Parish worker’ Kiswahili chake ni Mhudumu sasa kwa nini sisi tuna Parish worker na wahudumu wawili? Kwa nini tusingesema wahudumu watatu au Parish worker watatu? Alijibiwa: Parish worker ni mtumishi wa neno lakini hawa wahudumu wengine ni wafanya usafi mazingira ya kanisa. Hatuwezi kuwaita Parish workers.
 
Lugano Mtawa:
Tunaomba watu wanapokuja ofisini kupata huduma wapokelewe vizuri kwa amani wahudumiwe vizuri na kuondoka kwa amani, tunaomba lugha nzuri isiyokwaza mtu. Alijibiwa tumelipokea.
 
Naza Anthony.:
Nashauri tunapoanza Ibada tufunge mlango kwani kuna wenzetu wanaingia na kutuondolea uchaji wa ibada. Alijibiwa tuheshimu viongozi wetu wanaposimama mlangoni na kutukataza kuingia
 
Neema makange:
Ni lini tutaajiri Mwinjilisti ili aweze kumsaidia Mchungaji kazi akiwa hayupo? Alijibiwa hali ya kifedha itakapokuwa nzuri kwa sasa hatuna pesa.
 
Paul Mkilanya:
Lini tutabadilisha jina la Usharika wetu? Alijibiwa hoja hiyo iliwahi kuletwa lakini wazee waliiikataa labda tunaweza kufanya hivyo kama italetwa tena na wazee wataikubali.
 
Francis Rutalala: Jumuiya ya Lawi
Kwa nini hatuna pesa wakati tumevuka malengo na tulibaki na pesa nyingi mwaka jana karibu sh 8m ? Alijibiwa pesa unayoiona imezidi ni pesa ya Jumuiya! Hatukuwa na mamlakanayo!
 
Lilian Uroki: Jumuiya ya Yerusalemu
Kwa nini Kamati ya Miradi haimalizi kazi zake? Alijibiwa huwa tunaangalia kipaumbele kila mradi unapoanza ukifika hatua furani tunaingia kwenye mradi mwingine.
Swali la nyongeza: Tunaomba kushauri msianze mradi mpya tena mpaka mmalize kazi zote ambazo bado hazijamalizika, alijibiwa ushauri wako tumeupokea.
 
Francis Rutalala:
Tunaomba tujue matumizi ya Usharika kwa mwezi ni sh. Ngapi kwa sababu tunapoambiwa watumishi hawajapata mishahara wakati pesa inabaki nyingi sana akili zetu zinashindwa kuamini. Alijibiwa kwanza mnatakiwa kujua kuwa sadaka hizi zipo katika mafungu manne! Kuna Ujenzi, Jumuiya, Vikundi, Ahadi na shukrani. Sasa pesa ya matumizi ni ya ahadi na shukrani tu. Mishahara ni sh. 4m kila mwezi lakini kuna asilimia 2 ya mapato yote inatakiwa kwenda KKKT makao makuu, asilimia 25 za mapato yote zinatakiwa kwenda Dayosisi na asilimia 13 zinatakiwa kwenda Jimboni. Hiyo ni michango ipo kisheria na michango mingine inakuja kila mwezi pia tunatakiwa kuchangia, aidha kila Jumapili ya pili ya mwezi sadaka zote zinatakiwa kwenda Dayosisi. Sisi ni wajibu wetu kutekeleza hatuna maswali tunapoletewa hoja kama hii ya michango. Baada ya majibu hayo wajumbe wote waliguna Mwenyekiti akaongezea kuwa makanisa yote ya KKKT hufanya hivyo sio sisi tu tunaochangia hizo asilimia!!
 
Willy Makange:
Maturubai yamesaidiaje washarika? Na yalinunuliwa na pesa ipi? Alijibiwa ukiwa na Msiba unaokuhusu uliotokea nyumbani kwako unaruhusiwa kuja kuazima bure bila malipo.likini msiba uwe nyumbani na sio kwa jirani.
Maturubai haya tuliyanunua kwa ajili ya vikundi vya kwaya hapa Usharikani vilikuwa vinafanya mazoezi kwenye jua kali hapo nje lakini baada ya kununua havijayafunga.
Na Tulinunua kutoka fungu la pesa ya Jumuiya.
 
Edmundi Ngowi:
Tuache sasa kujenga majengo ya muda hasa banda la Sunday school tujenge jengo la kudumu la kuabudia watoto wetu. Alijibiwa hatujawa na mpango mkakati wa namna ya kutumia kiwanja chetu hapa lakini tumeshaunda kamati tuko mbioni wakati wowote tutajenga jengo la kudumu la kuabudia watoto wetu. Na sababu hiyo ndio inayotufanya tujenge majengo ya Muda. Ambayo ghalama yake haizidi sh.milioni 3.
 
Mama Lacha:
Kwa nini tusiimalishe nyumba iliopo kwenye kiwanja cha nyumba ya Mchungaji ili ahamie pale kuliko kuendelea kulipia kodi kila mwaka? Alijibiwa nyumba ile ni ndogo haimtoshi Mchungaji.
 
Edmundi Ngowi:
Nimeshauri tujenge chumba hata kimoja tusing’ang’anie watoto wetu kukaa kwenye mabati! Alijibiwa tumelipokea tutalifanyia kazi.
 
Mwenyekiti
Aliwauliza akina mama kwa nini hamkutani? Katibu wa umoja wa akinamama ( Mzee Atupokile Mwalukasa) alijibu tuna changamoto nyingi sana moja ni sisi viongozi kuwa katika vikundi vingine kwa huduma nyingine wakati huohuo tunatakiwa kwenye umoja wa akina mama! Mwenyekiti alilikanusha hilo na kuwaambia mnayo siku yenu ya Jumatatu ambayo hamuingiliani na kikundi chochote kwa nini hamuonekani? Katibu umoja wa akinamama alishindwa kujibu. Mwenyekiti akatoa agizo kesho tarehe 06/06/16 niwaone hapa Usharikani.
 
Israel Swai: Jumuiya ya Bethsaida.
Kwanini mliifuta kwaya ya Ebeneza? Maana tuliwekeza sana kwenye kwaya ile! Alijibiwa kwaya ile walimtukana Mchungaji tukawasimamisha, kama hiyo haitoshi baada ya kusimama wakaja kutufanyia fujo hapa Usharikani ndio maana tukafuta adhabu ya kuwasimamisha na kutoa adhabu nyingine ya kuifuta kwaya. Na mbaya zaidi viongozi wote wa kwaya walikuwa ni watoto wa familia moja na wazazi wao walikuwepo wakati wanamtukana mchungaji lakini hawakuwakataza watoto wao.na wameenda kushitaki mpaka jimbo nimeitwa nimeulizwa nikawaeleza kama ninavyowaeleza nyie na wanasema wanaomba kurudi tutawapokea maana walikuwa chini ya marudi ila hawataimba kwaya yoyote isipokuwa Kundini watarudi tutawapokea.
 
Matowo: Jumuiya Sayuni A
Ni vizuri tukapunguza urasimu kwaya wanapotaka vyombo inawezekana hilo linawakwaza wengi hata sasa! Alijibiwa tunawapenda sana vijana wetu na kwaya zetu zote. Hatuna urasimu wowote tunachopenda tujue idadi ya vyombo vilivyotoka ili vinaporudi viwe kama vilivyotoka. Kwa sababu vyombo vitakapopotea utaulizwa uongozi uliopo sio vikundi vya kwaya. Hivyo naomba waheshimu taratibu tu.
 
Israel Swai: Jumuiya yas Bethsaida.
Kwa nini fungu la kumi tunatoa kila Jumapili, kwa nini tusitoe mala moja tu kwa mwezi? Nashauri tutoe mwisho wa mwezi tu. Alijibiwa tutalifanyia kazi na tutatoa maazimio.
 
Lilian Uroki: Jumuiya ya Yerusalemu.
Naomba kushauri na hili nimeliona kwenye baadhi ya sharika huko nilikotoka Arusha na Daressalaam tuanzishe mfuko wa maendeleo ya Usharika ili tusikwame kiuchumi katika kazi zetu zozote zile ni mtazamo wangu tu. Alijibiwa ni mawazo mazuri sana tunaomba fafanua zaidi tutoe vipi?
Tutachagua Jumapili moja mwanzo wa mwezi au mwisho wa mwezi au kila Jumapili vyovyote mtakavyoona inafaa. Akajibiwa asante tumelipokea tutatoa maazimio.
 
John Uroki: Jumuiya ysa Yerusalemu:
Nasisitiza Mfuko wa maendeleo utatutoa tulipo uanzishwe. Alijibiwa kitabu chetu cha Tumwabudu Mungu wetu kimetuonya tusiwe na utitiri wa Sadaka ndio maana tunatafuta namna ya kufanya ili kusiwe na utitiri wa sadaka. Tutatoa maazimio.
 
Laizer: Jumuiya ya Yerusalemu:
Pesa za fungu la kumi zisiende Dayosisi. Alijibiwa ni utaratibu uliopangwa hatuna maamuzi yoyote katika hilo.
 
Francis Rutalala.
Nashauri Jumapili ya kwanza ya mwezi tutoe fungu la kumi. Alijibiwa hilo tutalifanyia kazi kwani sio kila mtu anapata kipato mwisho wa mwezi tukipeleka mwanzo wa mwezi itakuwaje kwa wale wanaopata pesa katikati ya mwezi? Tutakaa tutaandika maazimio mazuri. Naomba mtuamini.
 
Julius Kweka:
Tunaomba Sadaka ya maendeleo ya Usharika itengenezwe bahasha na tuitumie kila wiki. Wajumbe wote waliafiki.
 
Stuwart George: Jumuiya ya Kanani.
Naomba tuanzishe mtaa Swaswa Mnarani kwani watoto wetu kule hawaji huku kusali. Alijibiwa tumelipokea.
 
Godfrey Kilongo: Jumuiya ya Yehova yile
Katika kuanzisha mtaa tujaribu kushirikiana na timu ya Uinjilisti ya Jimbo inaweza kutuambia wapi waumini wapo wengi na hilo litatusaidia sana. alijibiwa asante tumelipokea.
 
Frank Senkondo:
Tutafute viwanja ili tuweze kuwekeza maana muda si mrefu Dodoma inaweza kuwa jiji tutajikuta hatuna viwanja wakati Dodoma imeunmgana na Chamwino Ikulu. Alijibiwa asante tutalifanyia kazi.
 
Julius Kweka.
Tuiinue kwaya ya Umoja kwa kila hali. Wajumbe waliafiki.
 
Mwenyekiti aliwahoji wajumbe kabla ya kusoma taarifa ya mchungaji kwamba tulianza kikao tukiwa wajumbe 155 lakini sasa wajumbe wamepungua hadi kufikia 45 je nisome taarifa hii au tuingie kwenye mengineyo? Wajumbe wote walisema tuingie kwenye mengineyo.
Mengineyo
Mwenyekiti alikaribisha mengineyo yalisemwa kama ifuatavyo:
Angelina Rutalala:
Kikao kama hiki huwa kinakuwa na chakula cha mchana kwa watu wote kwa nini hakikuandaliwa?labda hii ndio sababu iliyofanya watu waoindoke. Alijibiwa hatukuwa na pesa, pia hatukuwashirikisha washarika wiki iliyopia mtusamehe kwa hilo lakini wakati mwingine tutajipanga na tutaandaa chakula.
Godfrey Kilongo:
Tusiuharibu ukuta wa kanisa kwa kuumwagia maji ni afadhali maua yaondolewe kwenye ukuta huu maana utaharibika. Alijibiwa tumeshalitatua hilo na tutazidi kuuimalisha.
Elisante Shuma:
Tunaomba ghalama ya majoho: alijibiwa tutaileta wiki ijayo.
 
Laizer Jumuiya ya Yerusalemu.
Tunaomba tuanzishe Saccos sasa. Alijibiwa hilo lipo kwenye mpango mkakati litafanyiwa kazi.
Israel Swai: Jumuiya ya Bethsaida.
Tunaomba wazee watunze Muda wanapoenda kusoma neno au kutangaza matangazo ya Usharika. Alijibiwa tumelipokea.
Hoja ya nyongeza alishauri watu wanaotoa sadaka kubwa watangazwe hasa watu watano wa kwanza. alijibiwa waliowengi hawapendi kutangazwa lakini kama unapenda tutakutangaza.
John Uroki:
Naomba tuwekewe masomo ya siku hasa maneno ya waraka. Alijibiwa tunazo karenda za kanisa, ni wajibu wetu kuzinunua na kusoma neno humo
Israel Swai:
Naomba mnielewe kuna watu hawatoi sadaka kabisa humu ndani na mimi ninawajua na jambo hili nimeliona huko kwetu mimi ninakua na kukuta watu wanashindanishwa hivi kwa nini na sisi tusianze?Alijibiwa tutalijadiri kiofisi na tutatoa utaratibu.
Kufunga kikao
Mwenyekiti aliwashukuru sana wajumbe waliokaa hadi mwisho wa mkutano huu mkuu wa Usharika, kwani tulianza mkutano tukiwa na wajumbe 155 na tumemaliza mkutano tukiwa wajumbe 45 tu aliwapongeza sana wajumbe wote kwa uvumilivu uliotukuka. Alisisitiza sana Umoja katikati yetu ili tuweze kufanikisha malengo yetu, alisisitiza sana moyo wa kujitolea kwa ajili ya kufanikisha kazi zetu, alisisitiza upendo katikati yetu. Tulifunga mkutano kwa kusema sala ya Bwana ilikuwa saa 9.05 Alasili.
 
Nawasilisha.
 
 
 
 
 
Mch. Saimon Mtawa Mzee Mwambene W J.
MWENYEKITI KATIBU
 
== Kurasa ya wiki ==
 
Samahani, mnaweza weka kurasa hii ya [[Anselm wa Canterbury]] kama kurasa ya wiki?'''[[Mtumiaji:Trunzep|Trunzep]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Trunzep|majadiliano]])''' 21:21, 5 Novemba 2016 (UTC)
 
== MAISHA YA SIR.ISSAC NEWTON ==
 
 
HISTORIA YA SIR.ISSAC NEWTON
Isaac Newton alizaliwa tarehe [[25 Disemba 1642]] – 20 March 1726/27 alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi.
 
Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na ya uvutano.
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea.
 
Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668.
 
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia Richard Bentley: « Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili ».Isaac Newton alizaliwa tarehe 25 Disemba 1642 – 20 March 1726/27 alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi.
Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na ya uvutano.
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea.
 
Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668.
 
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia Richard Bentley: « Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili ».Isaac Newton alizaliwa tarehe 25 Disemba 1642 – 20 March 1726/27 alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi.
 
Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na ya uvutano.
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea.
 
Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668.
 
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia Richard Bentley: « Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili ».Isaac Newton alizaliwa tarehe 25 Disemba 1642 – 20 March 1726/27 alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi.
 
Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na ya uvutano.
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea.
 
Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668.
 
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia Richard Bentley: « Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili ».Isaac Newton alizaliwa tarehe 25 Disemba 1642 – 20 March 1726/27 alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi.
 
Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na ya uvutano.
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea.
 
Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668.
 
Tarehe 10 Desemba 1682 alimuandikia [[Richard Bentley]]: « Siamini ulimwengu unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la hekima na ubunifu vya mmoja mwenye akili ».
 
== World Youth Forum ==
Return to "Mwanzo" page.