|
|
'''SoftwareProgramu''' (programu tetesoftware) ni mkusanyo wa maelezo yasiyo tendaji yaliyotunzwa katika kumbukumbu ya [[tarakilishi]] ili kuweza kuchakata [[takwimu]] fulani pindi itakapohitajika kufanya hivyo.
Mfano wa programu tete ni Mifumo tendaji (Os) na [[Kamusi Kuu ya Kiswahili]].
|