Maunzingumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:PDP-11-M7270.jpg|thumb|[[Bongo kuu (kompyuta)|Bongo kuu]] inaitwainayoitwa PDP-11-M7270.]]
'''Vifaa''' ni sehemu za [[tarakilishi]] zinazoshikika (Kiingkwa [[Kiingereza]]: hardware). Vifaa ni aina zote za vifaa vya tarakilishi, navyo vimegawanyika katika sehemu kuu tatu.:
# Vifaavifaa vya kuingizia vitu (Input devices), Vifaa
# vifaa vya kutolea vitu (Output devices) na
# vifaa katika tarakilishi ([[Kadi ya mtandao]], [[Kadi ya sauti]], [[Kiendeshi diski kuu|diski kuu]]).
 
Vifaa ni kinyume cha [[programu tete]].
 
 
== Marejeo ==
 
* Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. ''Africa & Asia'', ''5'', 85-107.