Virusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi
Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi
Mstari 29:
Muundo wa virusi una sehemu mbili pekee: [[uzi]] wa ADN au ARN halafu [[koti]] la proteini la kulinda uzi huo. Kwa kawaida ADN au ARN ya virusi ina [[jeni]] chache kwa kulinganisha na viumbehai, kama makumi kadhaa. Lakini virusi kama ''[[Pithovirus]]'' na ''[[Pandoravirus]]'' vina mamia ya jeni.
 
[[Ambukizo]] la virusi katika wanyama na watu husababisha itikio la [[Kinga (ya tiba)|kingamwili]] unaoelekea kuua virusi. Lakini mjibizo huu, unaoonekana mara nyingi kwa [[homa]], unaweza kudhoofisha [[mwili]] na kuleta hali ngumu hadi [[kifo]]. Virusi hatari zaidi ni vile vinavyohamia kutoka mnyama kumwathiri binadamu, huitwa [[zoonosia|virusi vya zoonosia]].
 
Ni vigumu kupata [[dawa]] za virusi kwa sababu virusi huishi ndani ya seli za mwili wa mwenyeji, hivyo kuna hatari ya dawa kusababisha hasara kwa seli zenyewe. Kuna virusi kadhaa ambavyo chanjo kimegunduliwa ingawa hakikingi asilima 100 maana virusi huwa na uwezo wa kubadilika haraka.
 
Kati ya magonjwa yanayosababishwa na virusi ni [[influenza]] (homa ya [[Mafua ya kawaida|mafua]]) na pia [[UKIMWI]]. Aina kadhaa za virusi zinaweza kusababisha [[saratani]].
 
==Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi==
Unashauriwa:
* kunawa mikono mara kwa mara kwa angalau [[sekunde]] 20 kwa [[maji]] na [[sabuni]]. Ukiwa nayo tumia [[dawa]] yenye [[alikoholi]] (si chini ya [[asilimia]] 60) kusafisha mikono.