Wikipedia:Makala ya wiki/Virusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Makala ya wiki |jina= Virusi |picha= Rotavirus Reconstruction.jpg |nakala ya picha = Virusi (rotavirus) |makala = '''Virusi''' (kutoka Kilatini virus, yaa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:50, 25 Februari 2020

Virusi (rotavirus)

Virusi (kutoka Kilatini virus, yaani "sumu“) ni chembe ndogo sana iliyoundwa na maada jenetiki, kama ADN au ARN, katika koti la proteini. Vinaweza kusababisha magonjwa.

Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi

Unashauriwa:

  • kunawa mikono mara kwa mara kwa angalau sekunde 20 kwa maji na sabuni. Ukiwa nayo tumia dawa yenye alikoholi (si chini ya asilimia 60) kusafisha mikono.
  • usiguse macho, pua na midomo kwa mikono kama hujanawa
  • epukana kuwa karibu sana na wagonjwa
  • wakati ugonjwa unazuui katika nchi ulipo, epukana kuwasalimu wengine kwa kushika mikono
  • kaa nyumbani ukiwa mgonjwa (ugonjwa wowote - maana kinga chako ni dhaifu katika hali hii)
  • tembea na karatasi za shashi (kama huna, hata karatasi ya choo / toilet paper) uitumie ukikohoa au kupiga chafya, halafu uitupe mahali pa takataka
  • safisha mara kwa mara vitu unavyovigusa (vikiwa pamoja na kikombe, deski, simu yako)[1]; kama unayo, tumia dawa la alikoholi (spirit – si konyagi!), lowesha karatasi nayo, futa, tupa ►Soma zaidi


  1. About prevention and treatment, tovuti ya National Center for Immunization and Respiratory Diseases (NCIRD), Division of Viral Diseases, Marekani, iliangaliwa 30 Januari 2020