Mto Msimbazi (Dar es Salaam) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kinapatikana katika vilima vya [[Pugu]], upande wa kaskazini wa [[Kisarawe]]. Njia yake ni km 42.5 hadi [[mdomo]] wake kwenye [[daraja la Selander]]. Mto Msimbazi unapitia eneo lote la [[Jiji la Dar es Salaam|Dar es Salaam]] ikiwa ni mto mkuu wa [[jiji]] hili. [[Mafuriko]] yake yanaathiri [[maisha]] ya [[watu]] wengi mara kwa mara.
 
Matawimito makubwa zaidi ni [[Mto Sinza (Ng'ombe)|Sinza (Ng'ombe)]] (urefu km 19.5), [[Mto Ubungo|Ubungo]] (km 20) na [[Mto Luhanga|Luhanga]] (km 12.15)<ref>[https://www.researchgate.net/publication/329706184
Malale/Munishi, Surface Water Quality in the Peri-Urban Areas in Dar-Es_Salaam, Tanzania: The case of Ng’ombe River], Tanzania Jornal of Engineering and Technology, vol 37, June 2018, pp 37ff </ref>, pamoja na matawimito midogo kama vile Mambizi (km 6.5), Zimbire (km 3.6), Kimanga (km 3), Kinyenyele (km 4.35) na Kwangula (km 2.25)<ref>W. J. S. Mwegoha and C. Kihampa: Heavy metal contamination in agricultural soils and water in Dar es Salaam city, Tanzania, African Journal of Environmental Science and Technology Vol. 4(11), pp. 763-769, November, 2010, online [https://www.ajol.info/index.php/ajest/article/view/71346/60299 hapa]</ref>.
Kinyenyele na Kwangula<ref>[W. J. S. Mwegoha* and C. Kihampa: Heavy metal contamination in agricultural soils and water in Dar es Salaam city, Tanzania], African Journal of Environmental Science and Technology Vol. 4(11), pp. 763-769, November, 2010, online [https://www.ajol.info/index.php/ajest/article/view/71346/60299 hapa]</ref>.
 
==Machafuko==