Kibodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:QWERTY HPkeyboard.jpg|thumb|Baobonye ya kawaida kwa mfumo wa [[Marekani]].]]
'''Baobonye''' (kwa [[Kiingereza]]pia: '''keyboard'''; vilevile '''Kicharazio'''<ref>[[Kamusi Kuu ya Kiswahili]]</ref>, au '''Bodidota/Bodi ya dota'''<ref>Kamusi ya Karne ya 21, EMAC, BAKITA na KIE. ISBN: 998-702-097-6</ref>; kwa [[Kiingereza]]: '''keyboard''') ni [[kifaa]] muhimu kinachomwezesha [[mtu]] kuweka [[maandishi]] na [[namba]] kwa [[tarakishi]] (kompyuta).
 
Kwa tarakilishi nyingi ni kifaa kikuu cha kuingizia habari [[mashine]]ni.
Mstari 8:
[[Muundo]] wa kawaida kwa lugha zinazotumia [[alfabeti ya Kilatini]] ni [[QWERTY]] (hizi ni [[herufi]] 6 za kwanza).
 
Muundo huu unaweza kuchosha [[mikono]] na [[vidole]]. Ulianzishwa zamani za [[taipureta|mashine za kupiga chapa]] na mfumo wa [[herufi]] ulilenga kutovurugisha mikono ya [[taipu]]. Siku hizi ni kama hakuna taipu tena, lakini watu waliozoea muundo umebaki vile.
 
'''Majina ya vibonyezo (keys)'''