Morihei Ueshiba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Morihei Ueshiba
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:39, 26 Februari 2020

'''Morihei Ueshiba''' (December 14, 1883 – April 26, 1969) [1]alizaliwa katika kijiji cha Nishinotani akiwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia ya watoto wanne ya Yoroku Ueshiba

Anajulikana zaidi kama mgunduzi wa mchezo wa mapigano wa kujihami wa Aikido [2] uliokuwa ukijulikana mwanzo kama Aikibudo ama Aikinomichi


  1. Aikido History. aikidohistory.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-26.
  2. Aikido (en-US). Meikyokai Aikido. Iliwekwa mnamo 2020-02-26.