Virusi vya Corona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
===Uenezi wa Covid-19 nje ya China===
Katika Februari 2019 virusi viliendelea kuenea nje ya China, kupitia watu waliosafiri baina ya China na nchi nyingine. Tabia ya virusi kutosababisha ugonjwa mkali kwa wengi ilikuwa msingi kwa uenezaji usiotambuliwa mwanzoni hadi kufikia watu waliogonjeka vibaya. Milipuko ya kwanza ilionekana katika [[Iran]]<ref>[https://www.theguardian.com/world/2020/feb/23/turkey-and-pakistan-close-borders-with-iran-over-coronavirus-deaths Turkey and Pakistan close borders with Iran ove Coronavirus deaths], gazeti la Guardian (UK) ya 23 Feb 2020</ref>, [[Korea Kusini]]<ref>[https://www.theguardian.com/world/2020/feb/25/coronavirus-south-korea-to-test-200000-sect-members-as-pandemic-fears-hit-markets Coronavirus: South Korea to test 200,000 sect members as pandemic fears hit markets], gazeti la Guardian (UK) ya 25 Feb 2020 </ref> na [[Italia]]<ref>[https://www.bbc.com/news/uk-51625733 Coronavirus: Britons returning from northern Italy told to self-isolate],BBC ya 25 Feb 2020 </ref> ambako serikali zilitangaza hali ya karantini kwa maeneo kadhaa. Kufikia mwisho wa mwezi huo, wagonjwa wa nchi nyingine wamezidi wale wa China.
 
Mwisho wa Februari wataalamu walianza kujadiliana [[pandemia]], yaani [[epidemia]] (mlipuko) katika nchi nyingi za dunia.
 
==Ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi==