Mmea : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
n.k to Na kadhalika |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Diversity of plants image version 5.png|thumb|Mimea]]
'''Mimea''' (kwa [[Kiingereza]]: "plants") ni [[moja]] kati ya [[Kundi|makundi]] ya [[viumbe hai]] [[duniani]]
[[Sayansi]] inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ambayo ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] mimea hujumlishwa katika [[himaya ya plantae]] kwenye [[milki]] ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye
Kwa hiyo mimea huwa na utando wa seli
Mimea kadhaa imepoteza uwezo wa kutengeneza klorofili ya kutosha, hivyo inajipatia nishati
Mimea mingi inazaa kwa njia ya [[jinsia]], yaani kwa kuunganisha [[seli]] za kiume na kike; mara nyingi viungo vya kiume na vya kike vinapatikana ndani ya mmea mmoja. Kuna pia mimea inayozaa kwa njia isiyo ya kijinsia, kwa mfano kwa kuotesha [[mzizi]] wa [[hewa|hewani]] ambao unaingia ardhini na kuendelea kama mmea wa pekee.
Mstari 13:
Mimea inatoa [[chakula]] kwa [[binadamu]] kama vile [[nafaka]], [[matunda]] na [[mboga za majani]], pia [[lishe]] kwa [[wanyama]] [[Wanyama wa nyumbani|wa kufugwa]].
== Picha ==
Line 33 ⟶ 31:
</gallery></center>
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-mmea}}
|