Barakoa ya kinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:CPMC Surgery (412142792).jpg|thumb|MtabibuTabibu akivaaakiwa amevaa barakoa.]]
[[Picha:Watson queue for face masks 20200130 DSCF2199 (49464278376).jpg|thumb|Wachina wakivaawakiwa na barakoa wakati wa mlipuko wa virusi 2019.]]
[[Picha:Police officer wearing half-mask respirator.jpg|thumb|MpolisiPolisi akivaaakiwa amevaa barakoa ya kinga dhidi ya hewa chafu barabarani.]]
'''Barakoa za kinga''' hutumiwa kulinda [[uso]] au sehemu zake ( [[Jicho|macho]], [[pua]], nkn.k.) na viungo vya kupumua dhidi ya athira ya hatari.
 
Kuna aina mbalimali za [[barakoa]] zinazovaliwa kwa shughuli mbalimbali
 
* barakoa za kitiba, zinazovaliwa na matabibu wakati wa [[upasuaji]]
* barakoa za kinga dhidi ya [[maambukizi]], zinazovaliwa na watu wakihudumia [[wagonjwa]] au wakihofia maabukizimaambukizi wakati wa [[mlipuko wa ugonjwa]]
* barakoa za [[kazi]] zinazovaliwa na mfundi[[fundi|mafundi]] wakati wa kufanya kazi zinazosababisha [[moshi]] au [[vumbi]] nyingi, kama vile kufuma, kusaga ubaombao, kufagia
* barakoa za [[oksijeni]] (kwa wagonjwa au kwa walinzi moto[[zimamoto]])
* barakoa za [[gesi]], zenye [[filta]] zinazokinga dhidi ya [[gesi sumu]] kwa matumizi ya kijeshi au huduma za [[ukoaji]] katika [[mazingira]] ya hatari
 
Barakoa za aina hiihizo zinaweza kulinda moja kwa moja dhidi ya maumizi kutokana na kupigwa kwa vipande vidogo vinavyorushwa hewani, au gesi au [[mvuke]] hatari, au vumbi, au [[harufu]] mbaya.
 
== Viungo vya nje ==
 
{{mbegu-tiba}}
[[Jamii:Afya]]