Chafya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Fred Ott Sneeze L.gif|thumb|Mtu akipiga chafya.]]
'''Chafya''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Sneeze'') ni [[hewa]] inayomtoka [[kiumbehai]] ghafla na kwa nguvu, bila [[hiari]] yake. Hutoka [[Mapafu|mapafuni]] kupitia [[Mdomo|mdomoni]] na [[Pua|puani]] sawia. Sababu inaweza kuwa [[mafua]] au kuingiwa na [[vumbi]].