Mwaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Muda kamili wa mzunguko huu ni [[siku]] 365.2425.
 
Kwa sababu hiyo kalenda ya Gregori inaongeza [[mwaka mrefu]] wa siku 366 katika utaratibu ufuatao:
 
* kila mwaka wa nne utakuwa na siku 366 badala ya 365 kwa kuongeza tarehe [[29 Februari]]. '''Mifano:''' 1892, 1996, 2004, 2008, 2012
* kila mwaka ambao namba yake inagawiwa kwa 100 utakuwa na siku 365 (siyo 366 hata kama namba za miaka hii zinagawiwa kwa 4 pia!). '''Mifano:''' 1700, 1800, 1900, 2100
* kila mwaka ambao namba yake inagawiwa kwa 400 utakuwa tena na siku 366 (siyo 365 hata kama namba za miaka hii zinagawiwa kwa 100 pia!). '''Mifano:''' 1600, 2000, 2400, 2800