Majadiliano:Matamvua (samaki) : Tofauti kati ya masahihisho

Latest comment: miaka 4 iliyopita by ChriKo in topic Matamvua
Content deleted Content added
→‎Matamvua: mjadala mpya
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:52, 1 Machi 2020

Matamvua

Mimi napendelea matamvua juu ya mashavu. Ikiwa maana ya mashavu ya samaki ni fish gills, basi fish cheeks ni nini kwa Kiswahili? ChriKo (majadiliano) 20:52, 1 Machi 2020 (UTC)Reply

Return to "Matamvua (samaki)" page.