Elizabeth Ann Seton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Saint Elizabeth Ann Seton (1774 - 1821).gif|thumb|Elizabeth Ann Seton.]]
'''Elizabeth Ann Bayley Seton''' ([[28 Agosti]] [[1774]] – [[4 Januari]] [[1821]]) alikuwa [[mwanzilishi]] wa shirika la '''Masista wa Huruma wa Mt. Yosefu''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Sisters of Charity of St. Joseph''), ambalo lilikuwa [[utawa]] wa kwanza kuundwa huko [[Marekani]]. Hasa alifundisha na kuwasaidia [[watoto]] [[maskini]] wengi.
 
Mchakato wa kumtangaza [[mwenyeheri]] ulianza mwaka [[1907]] na kumalizika [[Papa Yohane XXIII]] alipomtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[17 Machi]] [[1963]].
 
Tarehe [[14 Septemba]] [[1975]] [[Papa Paulo VI]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake ni 4 Januari<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>.
 
== Maisha yake ==
Line 18 ⟶ 24:
 
Alifariki mwaka [[1821]].
 
== Heshima aliyopewa ==
Mchakato wa kumtangaza [[mwenyeheri]] ulianza mwaka [[1907]] na kumalizika [[Papa Yohane XXIII]] alipomtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[17 Machi]] [[1963]].
 
Tarehe [[14 Septemba]] [[1975]] [[Papa Paulo VI]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake ni 4 Januari.
 
==Tazama pia==
Line 31 ⟶ 30:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==