Emma Morano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Emma_Morano_1920.jpg with File:Emma_Morano_1930.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 3 (obvious error) · Портрет 1930 года, а не 1920).
 
Mstari 1:
[[Picha:Emma Morano 19201930.jpg|alt=Emma morano|thumb|Emma Morano.]]
'''Emma Martina Luigia Morano''' aliyezaliwa ([[29 Novemba]] [[1899]] - [[15 Aprili]] [[2017]]) alikuwa [[mwanamke]] wa [[Italia]] ambaye, kwa [[kifo]] chake akiwa na [[umri]] wa [[miaka]] [[117]] na [[siku]] [[137]], alikuwa wa saba kati ya [[watu]] walioishi miaka mingi zaidi [[duniani]] ambao [[umri]] wao ulikuwa umehakikishiwa, na mtu aliyeishi wa mwisho amehakikishiwa kuwa amezaliwa katika [[miaka ya 1800]].