Matamvua (samaki) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo alihamisha ukurasa wa Mashavu (samaki) hadi Matamvua (samaki): Jina bora
kusahihisha lemma
Mstari 3:
[[Picha:Tuna Gills in Situ 01.jpg|200px|thumb|Mashavu ya samaki.]]
[[Picha:LarveKamsalamander.JPG|200px|thumb|Mashavu ya kiluwiluwi ya [[salamanda]].]]
'''MashavuMatamvua''' (pia: '''mashavu''', kwa [[Kiingereza]]: ''gills'') ni viungo kwenye [[miili]] ya [[samaki]] na [[wanyama]] wengine wanaoishi kwenye [[maji]] vinavyowawezesha kupumua, yaani kupeleka [[oksijeni]] iliyomo mwenye maji kuingia katika [[damu]]. Yanatoa pia [[hewa]] iliyotumiwa ya [[dioksidi kabonia]] kutoka damu na kuiacha kwenye maji. Kwa hiyo mashavu ya [[viumbehai]] wa majini hutekeleza [[kazi]] inayolingana na [[mapafu]] ya wanyama wa nchi kavu.
 
MashavuMatamvua huhitaji kwa kazi hiyo [[uso]] mkubwa ambamo [[Mshipa|mishipa]] [[Mishipa ya damu|ya damu]] katika [[ngozi]] yake huitishwa na maji yenye oksijeni. Kwa hiyo [[umbo]] lake linaweza kufanana na [[unyoya]].
 
Samaki na [[chura]] huwa na mashavumatamvua kando ya [[kichwa]]. [[Ndubwi]] (viluwiluwi) wa [[amfibia]] mara nyingi huwa na mashavumatamvua yanayotoka nje ya mwili.
 
Wanyama wadogo sana wa majini hawahitaji mashavumatamvua kwa sababu kwao [[upumuo]] hutokea moja kwa moja kupitia ngozi ya mwili.
 
==Viungo vya nje==