Matamvua (samaki) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kusahihisha lemma
No edit summary
Mstari 1:
<sup><small>Kwa matumizi ya neno hili kutaja sehemu za mwili wa binadamu angalia [[Shavu]] na [[Shavu la mkono]]</small></sup>
[[Picha:Carp gill defect.jpg|200px|thumb|MashavuMatamvua ya samaki yanaonekana kwa sababu alizaliwa bila mfuniko unaoyafunika kwa kawaida.]]
[[Picha:Tuna Gills in Situ 01.jpg|200px|thumb|MashavuMatamvua ya samaki.]]
[[Picha:LarveKamsalamander.JPG|200px|thumb|MashavuMatamvua ya kiluwiluwi ya [[salamanda]].]]
'''Matamvua''' (pia: '''mashavu''', kwa [[Kiingereza]]: ''gills'') ni viungo kwenye [[miili]] ya [[samaki]] na [[wanyama]] wengine wanaoishi kwenye [[maji]] vinavyowawezesha kupumua, yaani kupeleka [[oksijeni]] iliyomo mwenye maji kuingia katika [[damu]]. Yanatoa pia [[hewa]] iliyotumiwa ya [[dioksidi kabonia]] kutoka damu na kuiacha kwenye maji. Kwa hiyo mashavu ya [[viumbehai]] wa majini hutekeleza [[kazi]] inayolingana na [[mapafu]] ya wanyama wa nchi kavu.
 
Mstari 13:
==Viungo vya nje==
{{Wiktionary}}
{{Commonscat|Gills|MashavuMatamvua ya samaki}}
* [https://study.com/academy/lesson/gills-definition-anatomy-quiz.html Gills: Definition & Anatomy], tovuti ya study.com
* [http://australianmuseum.net.au/image/Fish-Dissection-Gills-exposed Fish Dissection - Gills exposed] ''Australian Museum''. Updated: 11 June 2010. Retrieved 16 January 2012.