Elementi ya kundi la 12 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Elementi za kundi la 12''' ni kundi kwenye [[Mfumo radidia|jedwali la elementi au mfumo radidia]]. Elementi hizo ni pamoja na [[zinki]], [[cadimi]], [[zebaki]], na [[Ununbi|copernici]] . Copernici ni [[elementi sintetiki]], sio thabiti kwa hivyo tabia zake hazikueleweka bado. Elementi zote za kundi hilo zina kiwango cha kuyeyuka cha duni na pia kiwango cha kuchemsha cha duni. Zebaki (mercury) ni [[kioevu]].
<gallery>
Picha:Zinc.jpg|<nowiki> </nowiki>Zinc
Picha:Cadmium.jpg|<nowiki> </nowiki>Cadmium
[[Jamii:mfumo radidia]]▼
Picha:Hg Mercury.jpg|<nowiki> </nowiki>Mercury
</gallery>
|