Kibonyezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|335x335px|Vibonyezo vya [[baobonye.]] Katika utarakilishi, '''kibonyezo''' (kwa Kiingereza: ''key...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:23, 4 Machi 2020


Katika utarakilishi, kibonyezo (kwa Kiingereza: key) ni mtambo wa badili kinatumiwa ili kidhibiti tarakilishi au mashine.

Vibonyezo vya baobonye.

Marejeo

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.