Valensi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Valency"
 
No edit summary
Mstari 1:
:
: [[Picha:Wasser.png|thumb| [[Oksijeni]] huwa na valensi mara 2 ya hidrojeni, kwa hiyo molekuli ya [[maji]] [[Maji|H2OH<sub>2</sub>O]] inahitaji atomu za hidrojeni mara mbili kuliko atomu za oksijeni ]]
 
'''Valensi''' ''(valency au valence)'' ni istilahi ya [[kemia]] inayotaja nguvu ya atomu ya kuunda [[muungo kemia]] na atomu zingine. Inataja idadi ya miungo zinazoweza kuundwa baina ya atomu wa elementi fulani pamoja na [[hidrojeni]] (elementi sahili zaidi).