Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 101:
Kuanzia mwaka 400 hivi, wakati wa [[Dola la Roma]] kudhoofika, makabila hayo yalisambaa hasa kwenda [[kusini]].
 
Mnamo mwaka 800 [[Karolo Mkuu]], mtawala wa Wafranki, aliunganisha maeneo ya Ujerumani na Ufaransa ya leo akaendelea kutwakutwaa Italia ya Kaskazini hadi Roma. Mwaka 800 [[Papa wa Roma|Papa]] alimpa cheo cha "Kaisari wa Roma". Baada ya kifo chake himaya iligawanyika, na makabila upande wa mashariki hatimaye viongozi wa makabila walikutana mwaka 919 wakamchagua mfalme kati yao anayetazamiwaanayehesabiwa kuwa mfalme wa kwanza wa Wajerumani.
Kuanzia [[karne ya 10]] wafalme wa Ujerumani walikuwa pia wadhamini wa Papa wa Roma aliyeendelea kuwapa cheo cha "Kaisari". Hivyo himaya yao iliitwa [[Dola Takatifu la Kiroma]].<ref>The Latin name ''Sacrum Imperium'' (Holy Empire) is documented as far back as 1157. The Latin name ''Sacrum Romanum Imperium'' (Holy Roman Empire) was first documented in 1254. The full name "Holy Roman Empire of the German Nation" (''Heiliges Römisches Reich Deutscher Nation'', short HRR) dates back to the 15th century.<br />{{cite book | last = Zippelius| first = Reinhold| title = Kleine deutsche Verfassungsgeschichte: vom frühen Mittelalter bis zur Gegenwart| trans-title = Brief German Constitutional History: from the Early Middle Ages to the Present| edition = 7th| origyear = 1994| year = 2006| publisher =Beck| language = German| isbn = 978-3-406-47638-9| page = 25}}</ref>