Wilaya ya Missenyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Masomem (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Keksha
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 5:
Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi (Missenyi District Council) ni moja kati ya serikali 8 za kiwilaya kwenye Mkoa wa Kagera. Eneo la wilaya ni 2709 [[km²]].
 
==Tabianchi==
Maeneo ya wilaya hupokea mvua mara mbili kwa mwaka; Kwenye mwambao wa Ziwa Viktoria mvua hufikia hadi milimita 1,400 na 2,000 kwa mwaka, kwenye nyansa za juu kati ya 1,000 na 1,400 mm; upande wa magharibi kiwango hushuka hadi 600 na 1,000 mm kwa mwaka.
 
==Usafiri==
Barabara ya lami T4 kutoka [[Mwanza]] inapita Missenyi ikielekea [[Uganda]]. Barabara ya udongo T38 inaanza kwenye T4 pale [[Kyaka]] ikielekea [[Wilaya ya Ngara]], kupitia [[Wilaya ya Karagwe]].<ref>{{cite web|title=Kagera Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446557959-Kagera.pdf|website=Tanroads|accessdate=16 February 2016|url-status=dead|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160223045329/http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446557959-Kagera.pdf|archivedate=23 February 2016}}</ref>
 
 
==Marejeo==