Muungo kemia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Muungo kemia''' ''(chemical bond)'' ni kani inayoshikiza atomu, ioni na molekuli na hivyo kuwa msingi wa kutokea kwa kampaundi. Kani hii in...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Muungo kemia''' ''(kwa [[Kiingereza]]: chemical bond)'' ni [[kani]] inayoshikiza [[atomu]], [[ioni]] na [[molekuli]] na hivyo kuwa [[msingi]] wa kutokea kwa [[kampaundi]].
 
Kani hiihiyo inaweza kutokana na [[kani umemetuamo]] ''([[:en:electrostatic force|electrostatic force]])'' katika [[muungo ionia]] au na [[muungo kovalensi]] ambakoambapo atomu zinashirikiana [[elektroni]].
 
==Muungo wa ioni==
Muungo ionia unashikiza atomu zake, zinazopatikana kwa [[umbo]] la ioni, kutokana na tofauti ya [[chaji]] za ioni. Hutokea hasa kwenye [[chumvi (kemia)|chumvi mbalimbali]] yaani kampaundi za [[metali]] na [[simetali]] zinazopangwa kwa [[muundo wa fuwele]].
 
==Muungo wa molekuli (kovalensi)==
[[Picha:Water-2D-dot-cross.png|thumb|Muungo kovalensi wa 2x hidrojeni na 1x oksijeni kuunda molekuli ya maji; oksijeni huwa na elektroni 6 kwenye mzingo wa nje,; pamoja na elektroni 2 za atomu 2 za hidrojeni inafikia namba 8, yaani kujaza nafasi zote. Vivyo hivyo atomu za hidrojeni hutumia elektroni 1-1 ya oksijeni kujaza mzingo wao,wake.]]
[[Elementi]] simetali zinafanya muungo kwa kushirikiana elektroni kwenye [[mzingo elektroni]] wa nje. Atomu zinaelekea kufikia hali ambakoambapo mzingo elektroni wa nje unajaa nafasi zote zinazowezekana. Mfano: atomu sahili ya [[hidrojeni]] ina mzingo mojammoja mwenyewenye elektroni moja tu. Hii ni sababu ya kwamba atomu yake inaungana kirahisi na atomu nyingine ya hidrojeni kuwa molekuli ambakoambapo atomu mbili za hidrojeni zinashirikiana elektroni zaozake na hivyo kufikia [[idadi]] ya juu inayowezekana katika mzingo wa ndani, yaani elektroni mbili. Vivyo hivyo hidrojeni inaungana kirahisi na elementi tofauti ambazo ziko tayari kupokea elektroni yake kwa kukamilisha mzingo wa nje.
 
== Viungo vya Njenje ==
{{wikiquote}}
{{Commonscat|Chemical bonding}}
Mstari 17:
* [http://osulibrary.oregonstate.edu/specialcollections/coll/pauling/bond/index.html Linus Pauling and the Nature of the Chemical Bond: A Documentary History]. Retrieved February 29, 2008.
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[jamii:Kemia]]
[[Jamii:Atomi]]