Wilaya ya Missenyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Misenyi''' ni wilaya mojakati ya [[wilaya]] za [[Mkoa wa Kagera]], yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35300''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref>. Ilianzishwa [[mwaka]] [[2007]] kutokana na maeneo ya [[wilaya ya Bukoba Vijijini]].
 
==Wakazi==
Katika [[sensa]] ya mwaka [[2012]], [[idadi]] ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 202,632 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council]</ref>
 
==Eneo==
Wilaya hii imepakana na [[Uganda]] upande wa [[kaskazini]], [[Ziwa Viktoria]] upande wa [[mashariki]] na [[Wilaya ya Karagwe]], Mkoa wa Kagera uko upande wa [[kusini]]. Eneo la wilaya liko upande wa [[magharibi]] ya [[Ziwa Viktoria]].
 
Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi (Missenyi District Council) ni moja kati ya [[serikali]] 8 za kiwilaya kwenye Mkoa wa Kagera. Eneo la wilaya ni 2709 [[km²]] 2709.
 
==Tabianchi==
Maeneo ya wilaya hupokea [[mvua]] mara mbili kwa mwaka; Kwenyekwenye [[mwambao]] wa Ziwa Viktoria mvua hufikia hadi [[milimita]] 1,400 na 2,000 kwa mwaka, kwenye nyansa[[nyanda za juu]] kati ya mm 1,000 na 1,400 mm; upande wa magharibi kiwango hushuka hadi mm 600 na 1,000 mm kwa mwaka.
 
==Usafiri==
[[Barabara]] ya [[lami]] T4 kutoka [[Mwanza]] inapita Missenyi ikielekea [[Uganda]]. Barabara ya udongo[[vumbi]] T38 inaanza kwenye T4 pale [[Kyaka]] ikielekea [[Wilaya ya Ngara]], kupitia [[Wilaya ya Karagwe]].<ref>{{cite web|title=Kagera Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446557959-Kagera.pdf|website=Tanroads|accessdate=16 February 2016|url-status=dead|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160223045329/http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446557959-Kagera.pdf|archivedate=23 February 2016}}</ref>
 
 
==Marejeo==
Line 18 ⟶ 19:
 
==Viungo vya Nje==
 
*[http://missenyidc.go.tz/ Tovuti rasmi ya Halmashauri ya WIlaya ya Missenyi]
{{Kata za Wilaya ya Missenyi}}
 
 
{{mbegu-jio-kagera}}
 
 
{{Kata za Wilaya ya Missenyi}}
 
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Kagera|M]]