Siku ya Wanawake Duniani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Siku ya Wanawake Duniani''' huadhimishwa [[tarehe]] [[8 Machi]] ya Kilakila [[mwaka,siku]]. hiiSiku hiyo ilianza kuadhimishwa tarehe [[8 MarchMachi [[1975]] baada ya [[Umoja wa Mataifa]] kuridhia siku hii kutumika rasmi <ref>https://www.humanrights.or.tz/posts/b/News/siku-ya-wanawake-duniani-2018-tuimarishe-usawa-wa-kijinsia</ref> kutumika kama siku rasmi ya kuikumbusha [[dunia]] juu ya [[haki]] za [[wanawake]]. Aidha Maadhimishomaadhimisho ya siku hiihiyo Kwakwa mwaka huu yamebeba ujumbe WAwa usawa Kwakwa watu wote.
 
==Historia==
Siku ya wanawake duniani kwa mara ywawa kwanza ilianza kusherehekewailisherehekewa katika mwaka wa [[1911]] ambapo mataifa [[kumi na moja]] yalipokusanyayalikusanya wanawake mia moja walipoanza kuadhimisha siku hii.
 
Mwaka [[1908]] jumla ya wanawake elfu kumi na tano waliandamana katika katika [[mji]] wa [[New York]] wakidai kupunguziwa muda wa kufanya kazi ,kupata [[ujira]] wa kuridhisha na kupewa haki ya kupiga [[kura]] <ref>https://www.vaticannews.va/sw/world/news/2020-03/siku-ya-wanawake-duniani-ni-siku-ya-kutathimini-maendeleo-ya.html</ref>.
Mwaka [[1909]] mwanamke kwa jina la [[Clara Zetkin]] alipendekeza kuanzishwa kwa siku ya wanawake duniani katika mkutano wa wafanyakazi wanawake uliofanyika katika jiji la [[Copenhagen]] nchini [[Denmark]]
 
Mwaka [[1909]] mwanamke kwa jina la [[Clara Zetkin]] alipendekeza kuanzishwa kwa siku ya wanawake duniani katika mkutano wa [[wafanyakazi]] wanawake uliofanyika katika jiji la [[Copenhagen]] nchini [[Denmark]].
 
==Marejeo==
{{reflist}}
[[Jamii:Sikukuu]]
[[Jamii:Jinsia]]